Video mpya ya Harmonize inayoitwa 'Mpaka Kesho' kali sana

Fafanua. Ukali wake upo wapi mkuu

Mazingira,wahusika,mavazi kama ameiga kwa ex boss wake
 
wimbo mzuri video mbovu, huyu mwamba sijui anakwama wapi tangu atoke wcb naona bado anaweweseka tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom