khairun
Member
- May 10, 2012
- 68
- 42
Nimekuwa nikiangalia mechi za mpira wa miguu za tanzania kupitia king'amuzi cha azam kwenye Smat TV. Niliangalia mechia ya yanga na simba ya tarehe 12 July 2020 na mechi ya Yanga na Singida ya tarehe 15 July 2020.
Zote zinaubora mbovu kabisa. Sijawahi ona obora wa hovyo kama kwenye picha za mechi hizo.
Zote zinaubora mbovu kabisa. Sijawahi ona obora wa hovyo kama kwenye picha za mechi hizo.