Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mabibi na mabwana Maalim karidhia serikali ya umoja wa kitaifa. Pamoja na yote Maalim si wa kubeza. Karibuni kwenye mwendelezo wa tungo hizi waungwana: Ninaamini Seif kaipigania Zanzibar...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Moja kati ya wizara ambazo kwa kipindi cha kwanza cha awamu ya tano binafsi naona haijaleta mabadiliko basi ni Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo chini ya Dr H Mwakyembe na naibu wake Mh Juliana...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanamuziki, kwa nini wanapenda kuvaa miwani ya jua muda wote, hata kama hakuna mwanga mkali, wanaficha nini? Wenye kujua wanielimishe
1 Reactions
5 Replies
1K Views
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Penzi aligawanyiki sehemu ya kwanza-sikuzaliwa wakati hizi nyimbo zinatamba lakini izi nyimbo kwa kweli zina nipa amani sana kila nikizisikiliza
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Stress ni pale unapompa msichana lift halafu akazimia ndani ya gari yako na humjui wala hujui kwao. Ulimkuta tu njiani ukamsaidia.! Noma zaidi ni pale unapoamua kumpeleka huyo msichana hospitali...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale watu wa miaka hiyo bila shaka mtakumbuka umahili wa bwana huyu katika medani za muziki wa dansi....R.I.p Jerry Nashon Dudumizi
2 Reactions
33 Replies
15K Views
Nina link itakayokuwezesha kupata nyimbo pendwa za kongo za wasanii wakongwe.na utazidownlod kwa single click tu...yaani haina maelezo au mbwembwe zisizo na sababu..kwa wanaohitaji lakini..kama...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
nimetoka kuingalia filamu ya 'Dragons Forever' ya kina Jackie Chan, Sammo Hung na Yuen Biao hivi punde kupitia Rembo tv. dah, nimekumbuka mbali sana........ucheshi, uchangamfu na uhalisia uliopo...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Merry mtoto wa mzee juana kitambo tunajuana, sio juzi wala jana hatujawahi kuzinguana....Zaidi ya kuniamsha hari yakuzidi kufanya... pindi napo kuchambua hakuna nachotoa zaidi ya mbegu jinsi...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
SISTER MURCIA. NA HEMED MAYUGU. NO. (01). Ni sister ambaye alikuwa na upako mkubwa na inasadikika alikuwa na uwezo wa kuomba chochote na mungu akamtekelezea. hata kama alikuwa na njaa yeye...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Kwa ufupi mwaka huu pamoja na kuwa wa mabalaa ila kwa upande wa burudani hasa mziki imesonga kama kawa. Shiriki nasi wimbo zilizobamba sana kwako kwa mwaka huu. Mimi: Dear God; - DAX Lyrics; I...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Unajua kila alfajiri hapa nchini Ujerumani ninafungua kamgahawa kangu; ni kagari nimekafanya mgahawa unaotembea. Sasa kuna sehemu apa karibu nimepata location nzuri ina mchanganyiko wa watu...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Habarini. Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri. Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi. Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila...
19 Reactions
297 Replies
42K Views
Sehemu ya 01 Mtunzi: Ally Katalambula Ndoa ni kama jumba au ngome yenye siri kubwa, waliopo ndani wanataka kutoka nje na walioko nje wanatamani kuingia ndani. Waliotoka kwa makosa ya kujitakia...
3 Reactions
104 Replies
22K Views
SEHEMU YA 01 Nilikuwa bado kijana na umri wangu ulikuwa wastani wa miaka ishirini na mitano. Sikuwa nimepata elimu ya kutosha baada ya wazazi wangu wote wawili kufariki dunia wakati nikiwa...
4 Reactions
99 Replies
46K Views
Wakuu GT, Mara kadhaa nimesikia kuhusu shindano hili la Miss Tanzania nilikuwa naomba kufahamishwa faida yake katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kitamaduni. Pia taifa kuwa na Miss linafaidika...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Simulizi : Bahari Ya Hindi Sehemu Ya Kwanza (1) Ilionekana gari moja aina ya Mark II (old model) ya kizamani,ikipaki nje ya geti la kuingilia bandarini….wakashuka watu wawili,,Mwanaume mmoja na...
5 Reactions
44 Replies
12K Views
Daa Hii movie nimeiona miaka nyuma kidogo sijui inaitwa je,ipo hivi Kuna mama alikuwa analea watoto, sasa pale kwake kuna maabara flani doctor alikuwa anafanya utafiti, Kuna siku doctor...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…