Ngoma mpya ya king kiba nakupenda ni hatari na nusu. Imefunika ngoma zote mwaka huu.
Ni bonge moja la collabo la kimataifa ikiwa inakaribia views laki nne ndani ya masaa 18 tangu iachiwe huko...
Kuna kipindi niliona Vanessa anaimba nyimbo yake na wapiga violin ilikuwa kama orchestrals, nimeona bwana wake Rotimi atakuwepo kwenye movie hii ya coming to america 2,nikakumbuka kazi imefanyikia...
Hii ngoma yako " WAAH " ni ngoma kubwa sana. Subiri mpaka ifikishe views 1b ndo ufanye ngoma nyingine. Am sure as hell by the time inafika june WAAH itakuwa na viewers...
Hawa vijana wako poa sana leo walikuwa wanachambua movie ya black panther wamenifanya niitafute tena niangalie kwa ukaribu.
Kuna mdada anaiwa Ilham Rashid shombeshombe hivi yuko poa sana...
Habari Wakuu. Kwa Wahenga na wale kizazi kipya kuna matukio yalitokea, kama si kumbukumbu za vyombo vya habari, basi anayekusimulia,utamuhisi amekopi sinema fulani na si uhalisia ulotokea...
Habarini watu..?
Moja kwa moja niende kwenye mada husika ni kuwa ombi au hoja yangu ni kutaka kutumika wataalum wa saikolojia ktk uandaaji wa filamu.. masoko ambayo haswa nimeyalenga ni haya ya...
*1-----------5*
ILAANIWE SIKU NILIYOZALIWA - SEHEMU YA KWANZA
Helena alilia na kuomba aachiwe lakini hakuna aliyemsikiliza.Waliendelea kumwingia kwa zamu,bila kumpa nafasi ya kupumzika.Binti wa...
NITAKUUA MWENYEWE - 21
Sultan Uwezo
"Ndiyo hivyo mzee sijui kaelekea wapi?"
"Ninyi tuondokeni eneo nahisi harufu ya damu mwenzenu."
Masanja aliwataka waondoke baada ya kijana waliyekuwa naye...
Kwa wale wapenzi wa series na movies, nipe jina hapa la series au movie ntakupa link ya kudownload
MUHIMU: NTAHUSIKA KWA UKANDA WA MAREKANI NA ULAYA TU, SERIES AU MOVIE ZA KIKOREA, KIBONGO...
Sehemu Ya Kwanza (1)
Maisha wakati mwingine si jitihada pekee zinazoweza kukutoa sehemu moja kwenda nyingine, kuna wakati bahati inahusika katika maisha.
Si kwa wote lakini mimi nilibahatika...
NITAKUUA MWENYEWE - 19
Sultan Uwezo
0764857776
"Ninyi ni hatari aise yaani mke wangu mimi anayenifahamu mpaka alama iliyo kwenye utumbo leo hii hajanitambua? Maskini weee Dorothy wangu."
Mzee...
..WIMBO WA AJABU ..
SEHEMU YA KWANZA.
¶¶¶Wanakandia,Wanapondea wanadhani
watafanikiwa¶¶¶. ¶¶¶Nimeshajua,Janet wangu,Ni
bora tufunge ndoa¶¶¶. ¶¶¶Sema basi laazizii,Sema
mpenzi, Nikilala...
Ukiacha TV series mbalimbali za ki Gangs kwa mwaka huu hii ndo Kiboko. GANGS OF LONDON. hii nmeikubali sana.
Kama unapata muda ukishapita kura yako huko Tz. Rudi home kaangalie. Au kama umeamua...
Nadhani kuna wakati baadhi nyimbo nzuri zinatolewa na wasanii na nikalii sana kuzisikiliza lakini hazipati nafasi ya kupenya kwenye media kivile.
Ebu tushirikishane izo nyimbo hapa chini
1...
NITAKUUA MWENYEWE - 17
Sultan Uwezo
Contacts: 0764857776
Baada ya masaa kadhaa waliwasili kwenye kambi moja ambayo ndani yake ilionekana kama kulikuwa na shughuli nyingi kama vile ni...
NITAKUUA MWENYEWE - 18
Sultan Uwezo
Contacts: 0764857776
Instagram: @sultanuwezo_
"Nimewaelewa vizuri sana na pia niwape pole kwa yote mliyopitia inawezekana ni mpango wa Mungu katika kuwafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.