Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Huyu jamaa makampuni yanavyogongana kutaka awatangazie biashara zao huwa hawakosei. Nilikuwa sijawahi kulisikia hili tangazo la pepsi, huu wimbo nakiri kabisa kuwa ni hit song kwa upande wa...
4 Reactions
35 Replies
8K Views
Nimeangalia kipindi cha Salama na, kinachorushwa kupita EATV, Rais mtaafu Jakaya Kikwete anaonekana mtu wa furaha. Ninahisi hayo maisha ya furaha ndio yanamfanya kimuonekano hazeeki yuko fiti...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeuliza hivyo baada ya kugundua kuwa nyimbo za taifa au ukanda fulani ni lazima utazielewa tu haijalishi ni za kurapu, dini, kwaya, sherehe au zozote zile. Au inafanywa hivyo makusudi hii ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu. Wale wapenzi wa music wa dansi naombeni mnitajie nyimbo za huyu mwamba nizipakue mtandaoni tayari kwa kuzisikiliza. Shukurani kwa wote mtakaoonesha ushirikiano.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu...! Naombeni mnisaidie wimbo wa Kikosi cha Mizinga unaitwa Kinondoni au Kino uliimbwa na Kikosi pamoja na wasanii kadhaa wa Kino akiwemo TID kwenye Chorus Saigon, Stiba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
RIWAYA; MTUHUMIWA MTUNZI; HUSSEIN TUWA SEHEMU YA KWANZA. Daily News, Julai 12 (Imetafsiriwa): Jambazi hatari linalojishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya huko Marekani ya Kusini...
3 Reactions
29 Replies
9K Views
Wadau naomba msaada wa kujua sinema (movie) za vichekesho za watoto kuanzia miaka 3, ambazo si za vibonzo (katuni). Endapo zipo nyingine nzuri za katuni unakaribishwa pia kunipa msaada. Ila...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakuu, Habari ndio hio. Hii ni filamu ambayo hutaiona labda watoto wako au wajukuu zako. 100 years:The movie you will never see; ni filamu iliyotayarishwa mwaka 2015 chini ya Director Robert...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Tuzo za Grammy za mwaka 2021 hazitafanyika tena mwezi huu huko Los Angeles Crlifornia na badala yake zitatangazwa mwezi Machi kwa sababu ya kuongezeka kwa visa vya virusi vya corona na vifo...
1 Reactions
2 Replies
953 Views
Baraza la Sanaa nchini Tanzania (BASATA) limemfungia kwa muda wa miezi sita (6) msanii wa Muziki wa Bongo Flava Gift Stanford Joshua maarufu kama Gigy Money, kwa kile kinachodaiwa kuwa msanii huyo...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Kifupi ni kwamba hili beat nilikuwa nalisikia tangu udogo wangu . Miaka ya tisini mwishoni jirani yetu alikuwa na kaseti iliyokuwa inapiga hili beat kwenye masherehe. Nilijaribu kulitafuta...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwenye kipindi cha joto la asubuhi mmezidisha miziki badala ya kutujuza mambo mbalimbali, masaa ya asubuhi tunategemea kupata habari zilizojiri kama vile PB ya clouds fm. Sasa EFM kipindi cha...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa wale wadau wa muziki mnaofatilia ngoma mbalimbali za kibongo, africa na america embu fanya kushare nasi ngoma 10 za 2020. Hizi zifuatazo ni top10 zangu za ngoma kali zilizofanya vizuri 2020...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Please wa JF nimekomaa toka juzi naitafuta sijaipata ila nakua hapa kuna wajanja zaidi yangu watafanya maajabu tuu Sent from my iPhone using JamiiForums
1 Reactions
4 Replies
45K Views
Mazee niaje? Tukiwa tunaufunga huu mwaka wa double 20, unahisi ipi ni nyimbo kali zaidi ya kuisikia ndani ya 2020? Kwangu mimi ni; Nakuja by Mdogo, balaa, ni nyimbo kali zaidi ya kufungia...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Aliyekupa wewe hajanisahau Nina imani hatakama mda bado Kukata tamaa kwangu nishasema mwiko Bado nipo,jana na leo mmmhh🎤🎵🎵 Tunapambana japo nasi tuwe mbali🎼 Na matatizo tumeyageuza morali🎶🎶 Iwe...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
COLLABO 10 KALI ALIZOWAHI KUSHIRiKISHWA CHRIS BROWN NA ZIKAWA MOTO HASWA. 1.NICK MINAJ FT CHRIS BROWN__RIGHT BY SIDE 2.RITA ORA FT CHRIS BROWN__BODY ON ME. 3.RICK ROSE FT CHRIS BROWN__SORRY...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Huyu mtoto leo ametekwa na watu waliotumwa na mjomba wake. Anapelekwa kuuzwa biashara ya ngono. Ila kwa upande mwingine anko inaelekea ataumbuka tena baada ya jaribio la kwanza kutaka kumuua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Vigezo. 1. Ubora wa kazi zao. 2. Ubora ktk Sanaa ya mapigano 3.Umri. 4.Mkwanja 5. Umaarufu.
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Ujue kuna baadhi ya nyimbo ukisikiliza vizuri mashairi yake unaona kabisa mwimbaji alikuwa anakufatilia hivi/yaani kila kitu kinagusa maisha na matukio yako kadhaa. Mimi wimbo wa Mwana FA ft Jay...
6 Reactions
265 Replies
28K Views
Back
Top Bottom