Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwa sasa TASNIA ya UIGIZAJI imepiga hatua kubwa sana ukilinganisha na miaka kadhaa nyuma, japo changamoto bado ni nyingi siyo mbaya tutafika tu. Kuna mambo madogo madogo yanayotukwamisha kufikia...
4 Reactions
30 Replies
6K Views
Mwenye Prison Break Season 5 naomba with English subtitle
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu kama kawaida Jana tumeshuhudia miamba mitatu ikiipeperusha bendera ya Tanzania kwenye tuzo hizi kubwa kabisa, miamba hii ni Rayvany mwakyusa, diamond platnumz na dada yetu mzee wa ninogeshe...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/37384037 [emoji116]
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Na mimi Sultan Uwezo. Ninapoizungumzia FILAMU YA NYARA siyo kwamba nimeiandaa mimi la hasha bali nimejaribu kuangalia utofauti uliopo kati yake na nyingine ambazo ambazo mhusika ni MASIKINI...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nadhani kichwa cha thread kinajieleza, kwa upande wangu mimi nimejikuta kwa muda mrefu napenda sana miziki/nyimbo kutoka S.A, na hii ni kutokana na upekee wa nyimbo hizo zina ladha ya tofauti...
5 Reactions
88 Replies
19K Views
The Goddess Rosa Ree has come through with another BANGER titled #ThatGal The Tanzanian female rapper does not seize to amaze us with her versatility and limitless talent. In this new joint she...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Maendeleo hayana chama...... Mitano tena..... Tunaisoma NAMBA...... Tanzania is green...... Tutaelewana tu acha tuoneshane Makali..... Sasa binafsi niliangalia series ya IRIS season 1 kwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna drama inaitwa "Memorist" ya huu mwaka 2020 Kama ulipenda Vagabond basi hii utaikubali ni drama inayohusisha akili na pia inangumi storyline yake ni nzuri na yenye mbunifu.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu Mzee wenu nimekaa hapa nasikiliza hawa vijana wenzangu wa enzi hizo..si mnajua tena weekend hii. Ila kiukweli nimeshindwa kung'amua kabisa kati ya hawa wakongwe wa huu muziki ni nani...
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Gwala kwa wana Jf wote, matumaini yangu tuwazima wa afya. Kwawaliofikwa na matatizo mbalimbali katika maisha ninaendelea kuwakumbuka kwenye maombi. Just hold tight a little while, our God is...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
katika miaka ya tisini hadi 2000 kulikuwa na majarida mbalimbali yaliyokua yakituburudisha sana.Moja ya majarida hayo yalikua kama vile,BONGO,TABASAMU na SANI.Humo ndani kulikua na watunzi wazuri...
6 Reactions
92 Replies
23K Views
Hivi hawa Wafilipino waliocheza series iliyoitwa FOREVER MORE wako wapi? XANDER & AGNES WAZEE wa LA PRESA CITY Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
2K Views
1. Penzi pendezo la moyo, kwa uliye mkhiyari Moyo usemapo ndiyo, na mwili huwa tayari Kwa jumla yote hayo, ndio pendo hutabiri ila wewe sikupendi, na wala huna kasoro 2. Nimechora kwenye jiwe...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu tangu june ilipotakiwa itoke na kuahirishwa mara 2 hatimae kitu kimeanza kutoka rasmi. Tambua tarehe ya ufunguzi katika nchi yako ukaenjoy. Pia itapatikana katika...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilipokuwa primary niliusikia nikaupenda sana lakini sikufanikiwa kujua beti zake... Unaanza hivi Sasa tunawahesabu, sasa tunawahesabu Waliokufa kwa tabu Bila hata matibabu, wengi hawana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Leo ni birthday yao. Mungu awazidishie umri wa kuishi.
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Wizkid__Ojuelegba🙌🙌🙌 Huu mdundo ulipikwa sana sizani kama Star Boy atakuja kupika mdundo kuuzidi huo. Ojuelegba the best Wizkid song Ever. Wangapi Tuliwahi kuusikiliza?
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Ukweli hawa jamaa kuna kipindi walijiona wao kama Mungu kwenye burudani Tanzania lakini mahojiano aliyofanya Babu Tale juzi kwenye kipindi cha XXL wamepigwa KO japo walijifanya kutaka kuvuruga...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom