Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nilipokuwa primary niliusikia nikaupenda sana lakini sikufanikiwa kujua beti zake... Unaanza hivi Sasa tunawahesabu, sasa tunawahesabu Waliokufa kwa tabu Bila hata matibabu, wengi hawana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Leo ni birthday yao. Mungu awazidishie umri wa kuishi.
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Wizkid__Ojuelegba🙌🙌🙌 Huu mdundo ulipikwa sana sizani kama Star Boy atakuja kupika mdundo kuuzidi huo. Ojuelegba the best Wizkid song Ever. Wangapi Tuliwahi kuusikiliza?
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Ukweli hawa jamaa kuna kipindi walijiona wao kama Mungu kwenye burudani Tanzania lakini mahojiano aliyofanya Babu Tale juzi kwenye kipindi cha XXL wamepigwa KO japo walijifanya kutaka kuvuruga...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari za kwenu Wana jf? Msaada tafadhali wa wimbo wa dini jina linaitwa "Unitume Mimi" yani Wanaume kwenye huu wimbo wanaimba kwa sauti kubwa sana harafu ina beat ni hatari, Shida ni ninapo...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Inakuwaje Wanajamvi! Ni yule Mkuu wa Wilaya Arusha Kenan Kihongosi aliyewachapa watu wazima viboko makalioni mbele ya watu na waandishi wa habari.
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Mfalme mtarajiwa wa Miduara 'Bob Haisa' kutoka Misungwi,Mwanza anatarajia kuachia ngoma yake mpya hivi karibuni akimshirikisha Malkia wa Taarabu asilia 'Bi Shakila' kutoka Dar Es Salaam,ngoma...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Taarabu zilipendwa ujumbe mzito plus mafumbo..kubembelezwa kwa sana yani tulienjoy sana wahenga MEGAElina MEGAHujui alacho kuku MEGANahodha MEGAMapenzi yananitatiza MEGANjiwa peleka salamu...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimeisikiliza nyimbo ya Huyu jamaa inaitwa TSENA na nilichoshangaa ni kwamba humo ndani kuna Maneno ambayo yanafanana na kiswahili na baada ya uchunguzi wangu mdogo nikagundua jamaa anaongea Lugha...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Anakuja kwenye Tamasha la Twende Zetu kwa Yesu linalotarajiwa kufanyika tarehe 19/12/2020, yaani Jumammosi ya wiki hii.
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau na wakubwa zangu heshima kwenu... Wangapi wanaokumbuka hii product ya kimafia.filamu ya ubabe ,unyama mwanzo mwisho. Nani anamkumbuka mbabe yule GAry hiroyuki tagawa nyamera la mayakuza...
0 Reactions
3 Replies
650 Views
SIMULIZI:MPENZI JINI. MTUNZI:LAMECK PETER SEHEMU YA 1. ...Kwa Jina Ninaitwa KETARO Ilikuwa Ni Mwaka 2015 Nikiwa Na Umri Wa Miaka 21 Nikiwa Nimezaliwa Mwaka 1994.Nilikuwa Ninaishi Na Bibi Yangu...
3 Reactions
58 Replies
31K Views
wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020... We taja tu hata kama.... We taja tu..... ...nimesema we taja tu... Mabaya..mazuri...yote ni lazima tuyapitie.. 2020 Countin down
0 Reactions
4 Replies
936 Views
RIWAYA: MSAKO WA MWEHU MTUNZI: Badi .M. Bao MWASILIANO. 0625920847, ( whatsap ) E- mail: badi.bao11@gmail.com Dar es Salaam SEHEMU YA KWANZA SURA YA KWANZA Idara ya magonjwa ya akili, Hospitali...
7 Reactions
273 Replies
51K Views
Ni nani unaona nani ni moto wa kuotea mbali kati ya Ray C na Jide, Enika na Nandy.
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa. Wizara ya maliasili na...
7 Reactions
114 Replies
19K Views
Wadau huwa najiuliza hivi yupi mkali Kati ya rapper na mc na wana tofauti gani ila nakosa majibu Sasa naomba 2discuss
1 Reactions
7 Replies
2K Views
1. wimbo wa AKON - DONT MATTER Huu wimbo huwa unanikumbusha saana rafiki yangu wa kike enzi za chuo alikuwa anaucheza saana kila ukipigwa, so nikiusikia namkumbuka japo kaolewa 2. Wimbo wa Witney...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wana JF natumai mu wazima, Naomba member yoyote aliye na wimbo "LAST TIME WE MADE LOVE" BY TANYA BLOUNT au upload hapa kwenye jukwaa nami nitaudownload maana nimeutafuta huu wimbo kwa...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Nautafuta wimbo wa msanii anayeitwa Clean bandit na Sean Kingston unaitwa,rockabaye Tafadhali mwenye nao aniwekee hapa maana nimejaribu kugoogle naupata ila nashindwa kuudownload
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…