Ray C vs Lady Jay Dee vs Enika vs Nandy nani bora katika kilele chake cha usanii?

Ray C vs Lady Jay Dee vs Enika vs Nandy nani bora katika kilele chake cha usanii?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,406
Reaction score
19,373
Ni nani unaona nani ni moto wa kuotea mbali kati ya Ray C na Jide, Enika na Nandy.
 
Ha ha hata kama humpendi Jide ila heshima yake inabaki pale pale..
Jide anaimba aisee tuache utani, kuna nyimbo kama Siwema, Nimekusamehe, Mapenzi yananitatiza japo kafanya kuzirudia ila ukikaa kusikiliza utajisemea tu, huyu mtu anaimba.

Kuna Nuru, Penzi la milele, Kifungoni, faraja to mention few zinakuweka level nyingine tofauti kabisa na hao wasanii wengine.

Angalau Stara kama angeendelea na muziki tungeweza kuwajadili kwa level moja!
 
KUNA KUIMBA NA KUNA WALE MA VOCALIST WAN AENDA NA VOCAL ARRANGEMENT JD RC WANAIMBA ILA ENIKA NIKTU KINGINE KIE KASIKILIZE TRACK YAKE NIMEKUBAMBA AU BARIDI KALI SIKILIZA ANAVYO HIT NOT
 
Unawashindanisha nn
Jide
Ray C
Nandy, na huyu nae like seriously kweeeeli
Enika

Au Umri?
Sawa Jay Dee ana Umri mkubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom