EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
1. wimbo wa AKON - DONT MATTER
Huu wimbo huwa unanikumbusha saana rafiki yangu wa kike enzi za chuo alikuwa anaucheza saana kila ukipigwa, so nikiusikia namkumbuka japo kaolewa
2. Wimbo wa Witney Houston - I'll Always love you
Unanikumbusha demu wangu wa enzi za A-level alipewa dedication na aliyekuwa mpenzi wangu
3. Wimbo wa Notorious B.I.G - Sky is the Limit
unanikumbusha mchizi wangu Robby (R.I.P) alikuwa akiupenda sana
Kibwagizo cha R.T.D katika kipindi cha MAMA NA MWANA - by Debora Mwenda Kikipigwa hunitumi popote (Kila jumamosi)
Ngoa gani inakukumbusha kitu?
tiririka