Nampongeza Babu Tale kwa kutomung'unya maneno kwa Clouds

Nampongeza Babu Tale kwa kutomung'unya maneno kwa Clouds

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
8,985
Reaction score
18,574
Ukweli hawa jamaa kuna kipindi walijiona wao kama Mungu kwenye burudani Tanzania lakini mahojiano aliyofanya Babu Tale juzi kwenye kipindi cha XXL wamepigwa KO japo walijifanya kutaka kuvuruga maneno, nilikua sijui kua hata Mwana FA aliwahi kupigwa pini mwaka mzima nyimbo zake zisipigwe. Kongole kwako Babu Tale kwa kuwapa ukweli.

​
 
Ukweli hawa jamaa kuna kipindi walijiona wao kama Mungu kwenye burudani Tanzania..Lakini mahojiano aliyofanya Babu Tale juzi kwenye kipindi cha XXL wamepigwa KO japo walijifanya kutaka kuvuruga maneno,nilikua sijui kua hata Mwana Fa aliwahi kupigwa pini mwaka mzima nyimbo zake zisipigwe. kongole kwako Babu Tale kwa kuwapa ukweli.

Kwa hiyo wasipo piga nyimbo ya msanii wao wananufaika na nini haswa? Mbona kutwa wanapiga nyimbo za wanaijeria je wanaijeria nao wanapiga nyimbo za wasani wetu kama sisi?
 
Ukweli hawa jamaa kuna kipindi walijiona wao kama Mungu kwenye burudani Tanzania..Lakini mahojiano aliyofanya Babu Tale juzi kwenye kipindi cha XXL wamepigwa KO japo walijifanya kutaka kuvuruga maneno,nilikua sijui kua hata Mwana Fa aliwahi kupigwa pini mwaka mzima nyimbo zake zisipigwe. kongole kwako Babu Tale kwa kuwapa ukweli.

Sikuisikiliz hii inabid nitulie niisikilize
 
WALE JAMAA WALIJIONA MUNGU WATU ILA KWA SASA WANANYOOKA
Issue ya Clouds naifananisha na ya Kangomba Mtwara

Baada ya Kangomba kudhibitiwa na Zao la Korosho limedorora

Clouds iliwezesha Msanii aliekuwa na uwezo wa kuzalisha 100 million baada ya kutengenezewa Mazingira rafiki kuambulia 20 million, sasa hivi Brand ya Clouds imeporomoka jee kuna wasanii wangapi wametengenezwa wapya na kuibuka zaid ya Zuchu?, jee Zuchu 'hadhulumiwi'?

Kangomba walionekana wanadhulumu wakulima, sasa hivi Wakulima wanatamani Kangomba waruhusiwe 'kuwadhulumu' ili nao wapate angalu school fees za watoto wao!
 
Ukisikiliza vizuri hata adam amesema hilo kua jama wamewapiga bao kidogo.
So kwa mtazamo wako wasafi(redio) imeipiga bao clouds in terms of quality,production+creativity??..Hell no

Adam hapo nadhani alikuwa ana maanisha wasafi(label) wameacha kuwabeg clouds kama wasanii wengine ambao walikuwa hawachezwi clouds(ruby,mapacha, n.k)
 
Maisha yanaenda kasi kweli, jamaa walikuwa wanajiona ni kama akina Pdiddy, Rick Ross, kina Wayne wa Entertainment industry! Unyamwezi mwingi sana ila kumbe jeuri ilikuwa kwa sababu ya yule mastermind😂 aliedanja. Hawajakaa vizuri Kibonde akasepa nae kimsingi clouds imeisha.

They are just making kicks of the dying horse. Wasafi haijawafikia ila their growing pace is promising.
 
NI KWASABABU RUGE AMESHAFARIKI NA HAWEZI KUONGEA TENA ILA ANGEKUWEPO NAE ANGETOA MAJIBU YAKE PIA KWA BABU TALE NA TUNGEMUONA YUPO SAHIHI.
KWANZA WASAFI BADO HAWAJAWA NA NGUVU YA KUISHUSHA CLOUDS MIKOANI LABDA KWA HAPO DAR TUU.
PIA UKIONDOA VIPINDI VYA ASUBUHI VYA WASAFI FM BADO SIJAONA KIPINDI CHA MAANA CHA KUITINGISHA CLOUDS FM
 
Hapo snazungumzia label ya Wasafi au Wasafi media
 
Babu tale kawachana ukweli clouds imeshapoteza mvuto now days
 
NI KWASABABU RUGE AMESHAFARIKI NA HAWEZI KUONGEA TENA ILA ANGEKUWEPO NAE ANGETOA MAJIBU YAKE PIA KWA BABU TALE NA TUNGEMUONA YUPO SAHIHI.
KWANZA WASAFI BADO HAWAJAWA NA NGUVU YA KUISHUSHA CLOUDS MIKOANI LABDA KWA HAPO DAR TUU.
PIA UKIONDOA VIPINDI VYA ASUBUHI VYA WASAFI FM BADO SIJAONA KIPINDI CHA MAANA CHA KUITINGISHA CLOUDS FM
Wasafi wana kipindi gani cha maana asubuhi!?
 
Wasafi hawana content za maana wanasikiliza wasafi nao huwa hawajielewi.Clouds inaweza kuwa imeyumba kidogo kwa sababu ya Ruge ndio tayari hayupo,ila footprints walizonazo clouds wasafi hawazifikii hata kwa ndoto tu wasafi makelele mengi hawana cha maana unaweza ku gain
 
Back
Top Bottom