Bi. Shakila, Babu Njenje na Lady Jaydee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bi. Shakila, Babu Njenje na Lady Jaydee

Discussion in 'Entertainment' started by Bujibuji, Jun 15, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Leo ni birthday yao.
  Mungu awazidishie umri wa kuishi.
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nawasikiliza Clouds hapa mpaka vinyweleo vimenisimama...mungu awazidishie maisha marefu na yenye afya na baraka tele
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  tarehe nzuri hii,
  ya waimbaji
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Happy birthday 2 them.
   
 5. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Napenda (sana, sana) nyimbo za Shakila:

  1. Macho yanacheka moyo unalia.
  2. Kifo cha mahaba
  Macho yanacheka, Moyo unalia,
  Nikimkumbuka wangu maridhia,
  Chozi hunitoka, kwa zake tabia.

  Nenda nateseka, nalia na njia,
  Siku zitafika, kukugeukia,
  Waja hangaika, ulie na njia.

  Uache dhihaka, mpenzi sikia,
  Moyo waniwaka, kweli nakwambia,
  Wanipa mashaka, kwa zako tabia.
   
Loading...