Wadau na wakubwa zangu heshima kwenu...
Wangapi wanaokumbuka hii product ya kimafia.filamu ya ubabe ,unyama mwanzo mwisho.
Nani anamkumbuka mbabe yule GAry hiroyuki tagawa nyamera la mayakuza ,Dolph Lundgren enzi zake akiwa chalii tu miaka hiyo ya 90s....dogo wa bruce lee ,,brandon lee yule ....[emoji847][emoji847]
Nadhani unampata mama la mama Tia carerre...
Wadau tujikumbushe machache kwenye hii filamu ya enzi hizoo