Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Rappers wa marekani kati ya East Coast na West Coast Nani wako vizuri?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mnaofuatilia mziki wa majuu hasa pale Marekani, hivi kati ya Future na Young Thung nani zaidi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hizi penseli zinaitwa perican coloured pensil ni nzuri kwenye kufanyia nakshi unapokua unachora picha zako kwa karikoo naweza zipata wapi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau, Leo nimeandaa huu uzi makusudi ili watu tupeane nyimbo nzur za soft rocks au atrong feeling songs. Kwanza mjue soft rocks ni tofaut na pop music mfano watu wanahoji celine dion...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simulizi;Chumvini Mtunzi; Abrana tz Whatsapp;0685946317 Age.........18+ Sehemu ya tatu.03 Ilipoishia.... Kama ujuavyo mtoto yoyote awe wa kike au wakiume akishafika kidato cha nne akizungumzia...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Hivi wakuu tamthiliya ya Kichina Magic Box inayorushwa Channel Ten, hivi inarushwa siku gani na saa ngapi?
0 Reactions
1 Replies
691 Views
Azam Sinema zetu mmeleta ubunifu mzuri wa kuwapromoti wasanii wa filamu na wengi wanacheza filamu nzuri, tatizo linakuja kwa Wahariri kukata baadhi ya tamthilia na kuweka matangazo ambayo mengine...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hili liko wazi kabisa, wala halihitaji ubishi. Kijana huyu ana cheche na moto haswaa wa kuweza kukamata siti iliyoachwa wazi na Harmonize. Najua matarajio ya wengi ni kwamba Rayvany ndio ataziba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
HABARI NJEMA KWENU MASHABIKI WETU DUNIANI KOTE Mlisema Mnaitaji Back To Back Kwa Fujo Na International Collaboration Kutoka #KingsMusic Sasa Mwaka Huu Mtakula Bata Sana Na Kutembea Vifua Mbele...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hitimisho la muziki kwa miaka ya nyuma lilikuwa ni kutoka huko Marekani na ULAYA maana tuliona wasanii wengi wakipishana kuja Afrika kufanya shoo na kuondoka na vitita vya fedha tofauti na miaka...
0 Reactions
5 Replies
707 Views
Mchezaji wa Kijapan mwenye umri mkubwa Kazuyoshi Miura (54) anarudi tena uwanjani baada ya kuongeza mkataba wa mwaka mmoja na club yake ya Yokohama. Kazuyoshi Miura atatimiza umri wa miaka 54...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Sitasahau siku Mushi alipokuja kufanya vurugu nyumbani kwangu akijiaminisha kuwa cheo chake cha upolisi ndio kinga yake. Mungu si Athumani. Leo hii Mushi sio Polisi tena. Ama kweli Dunia duara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tujadiliane kuhusu Bongo Flava industry ; Is still growing or declining industry? Ni nini Maoni yako kweny Tanzania music industry.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
WARAKA MAALUM KWA WATANGAZAJI WA RADIO NA TELEVISHENI-TANZANIA. Dated 13,Desemba 2020. Masikitiko yangu makubwa ni Watangazaji wa Radio na TV hasa vituo vikubwa Kama EATV, ITV, CLOUDS TV...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ee bhana hv dodoma sehemu gani nzuri kwenda club nataka nikachangamshe mwili...na kutoa jashoooo kuna baridi baridi leooo
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nikiwa nafanya programming au nimekosa usingizi huwa napenda kusikiliza aina izi za mziki, japo ni nyimbo za makelele nasikiliza na ata zile zenye noise kabisa kama VAPORWAVE / GLITCH / 8 BIT...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
I love this channel, hasa mapishi na real estate including interior design ya nyumba. Toka mwaka uanze Azam wameiondoa. Wameleta "Real Time" ambayo kusema ukweli lo! Kulikoni Azam TV?
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma. Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu haya makundi mawili yalipata kutamba sana kwa muziki wao mtamu!hapa nazungumzia Wenge ya JB Mpiana na Extra ya Rogaroga!Je,wewe mdau unalikubali kundi gani zaidi?Mimi binafsi bana Extra...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom