Mwenye lyrics za huu wimbo anisaidie...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Nilipokuwa primary niliusikia nikaupenda sana lakini sikufanikiwa kujua beti zake...

Unaanza hivi

Sasa tunawahesabu, sasa tunawahesabu
Waliokufa kwa tabu
Bila hata matibabu,
wengi hawana hesabu, duniani...

Naomba kwa mdau anayeufahamu aniendelezee...
 
Sasa tunawahesabu hao, sasa tunawahesabu hao
Waliokufa kwa tabu
Bila hata matibabu,
wengi hawana hesabu, waliokufa kwa tabu duniani...
Ni kiongozi wa kongo huyo,*3 walimpiga vigongo, wakamvunja mgongo, wakamtoa ubongo na huo sio uongo ni ukweli tu.
Kambona aliagiza hayo*3, pindueni mkiweza , hakuna mwenye kubeza, nitawapeni mafedha nirudipo safarini uingereza.
Naaapa, Tanzania utaitambua
 
Ndo ule sijui

Bwana **** aliagiza huyo *3 Mkataba umekwisha pindueni mkiweza, nitawapeni mapesa, nikitoka safarini Uingereza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom