Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakuu huu uzi nimefungua special kwa watu wenye ulevi wa kucheza video games. ESPECIALLY PS4 FIFA 21 AND XBOX ONE. Hizo hapo chini ni skills moves kutona na nyota za mchezaji sio kila mchezaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Frasier 2. Modern Family 3. 30 Rock 4. Veep 5. Friends
0 Reactions
13 Replies
2K Views
TEARS OF THE SOUL (MACHOZI YA ROHONI)- 1 Mtunzi: Aziz Hashim (Hash Power) NB: UNAWEZA KUIPATA SIMULIZI HII TAMU KUANZIA MWANZO MPAKA MWISHO KWA MFUMO WA e-Book (PDF) UTAKAYOISOMA KWENYE SIMU...
3 Reactions
17 Replies
7K Views
Album ya Rayvanny "Sound from Africa" uchambuzi, ratings!!, cons and pros, Karibu. Raymond Shabani Mwakyusa a.k.a Rayvanny kaachia album yake ya kwanza toka anze Carrier yake ya muziki miaka...
2 Reactions
44 Replies
8K Views
Nilikuwa naomba jinsi ya kupata mwendelezo wa season zilizotafsiriwa na Madj mbalimbali maana nataka kufungua Video Library.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamaa analazimishwa kutakatisha pesa za drug cartel. Bonge moja la Season.
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ndiyo hiyo, stori iliyoanzia humu ya bwana LwandaMagere rasmi imeanza kusikika leo Radio Free Africa, RFA na ameianzia mwanzo kabisa toka wako Tarime ambapo housegirl Ashura alifanya...
3 Reactions
23 Replies
9K Views
Kama kichwa kinavyojieleza natamani kujua ujumbe wa hiyo ngoma mimi ili niweze kuelewa alichokiimba Zuchu. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari za muda huu!! Natumaini tunaendelea kuchukua taadhari na kujifukiza ili kupambana na corona,kwenye ile mitano tena ndo kwanzaaaa tunaanza na tayari kuna dalili ikawa 20 tena😂😂😂...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
TAIFA LA MOYO WA SHETANI. NA..............HEMED MAYUGU. NO................(01). WHATSAPP.......0755577488. SHARE NYINGI NDIYO FURSA YA KUIFURAHIA KILA SIKU. NAOMBA KU-SHARE KWA WINGI. Ilikuwa...
2 Reactions
24 Replies
9K Views
Sitakuomba radhi na nitangaze rasmi kuhusu kile ambacho naenda kunena kuhusu wewe. Nikikosea na ndio kawaida ya binadamu mimi ni mwanadamu lazima nikosee na mimi siyo wa kwanza watangulizi wetu...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Ilikuwa ni wiki tuu mimi na familia yetu tukiwa tumeamia katika makazi mapya kwakua sikua na rafiki wa kuongea nae basi nilipenda kwenda kukaa mbele ya nyumba yetu kwani kulikua na mti wenye...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
ANGALIZO kwa Msanii MARIO. MARIO: acha kutafsiri nyimbo zangu DON NALIMISON kwa Kiswahili, bunii vya kwako. Tikisa ume copy na ku paste wimbo wangu wa Congratulation ulioko You Tube tangu julai...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Hii ni series ya kizungu inayohusiana na baadhi ya polisi kupata hela za magendo tofauti na mshahara wanaolipwa kihalali na Serikali wanachokifanya wanaficha hela hizo magendo kwenye magodown na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndiyo nimemuona jana, nimecheka sana. Hii clip imenichekesha kichizi.
7 Reactions
40 Replies
11K Views
Ninamfahamu Lista kama mwanamuziki mkongwe wa Tanzania lakini hivi sasa anaishi Japan, anajihusisha pia katika shughuli za uandishi wa vitabu mbalimbali vya muziki. Ameeandika vitabu vinavyo husu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza naanza kwa kucheka zamani kuna gazeti lilikuwa linaitwa Sani lilikuwa kuna watu wanachorwa mle kama hadithi kupelekea mazingira kuona kama ni binadam kweli. Hivi kuna mtu ashawahi kuwaza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu. Kuna huu wimbo nilikuwa nikiusikia sana mwanzoni mwa miaka ya tisini. Chorus ya wimbo ilisema " Naona bora niende Zambia nikamtafute Monica, alinitoroka...
1 Reactions
25 Replies
19K Views
Mfano Sweete reggae --Busy signal-come over Hip hop--coolio-i see you when u get tgere Singeli---msaga sumu-mwanaume mashine Country-kenny rogers-gamble Rnb-chris brown-with you Morden...
2 Reactions
16 Replies
9K Views
Back
Top Bottom