Song of Century🔥🔥

Chinedu5

JF-Expert Member
Apr 20, 2015
722
1,000
Habari za muda huu!!

Natumaini tunaendelea kuchukua taadhari na kujifukiza ili kupambana na corona,kwenye ile mitano tena ndo kwanzaaaa tunaanza na tayari kuna dalili ikawa 20 tena😂😂😂....

Anyway sipo kulijadili hilo,niingie kwenye mada moja kwa moja.Kwanza kwa iman yangu mimi ni muislam,nmekua nikisikiza music wa grene tofauti tofauti kutokana na mood ya muda husika,pia nmekua nikisikiliza na kwaya mbali mbali....

Lakini nikiri tu wazi,tangu nmeanza kusikiliza nyimbo mbali mbali,hakuna nyimbo nzuri zaidi ya hii,wataimba wote ila hii ni zaidi ya nyimbo,sijui wakati anaandika hii au ana record alikua anawaza nini natamani sana nijue hili...

Nyimbo yenyewe inaitwa Ekuweme ya Prosper ni m- Nigeria,ukisikiliza hii nyimbo unaona kabisa upo sehemu fulani,unafeel kitu tofauti,binafsi kila nikisikiliza hii nyimbo siizoei,nasikia nguvu mpya!! kama kuna nyingine kama hii au zaidi ya hii naomba muongozo😊😊
 

Coolant

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
961
1,000
Nakubaliana na wewe mkuu hasa ile verse ya yule mwanamama ina maneno mazito sana
 

Chinedu5

JF-Expert Member
Apr 20, 2015
722
1,000
Nakubaliana na wewe mkuu hasa ile verse ya yule mwanamama ina maneno mazito sana
see mara ya kwanza nasikiliza sikuona subtitles,nasikiliza nahisi mwili unasisimka na sielewi hata icho kilugha,nlivoona vdeo nilitamani na mm niwepo pale
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom