Huyu wa kujiita Mwaisa Nyonyoma mtu mbad anajua sana

Mdogo wake wakuvwanga, jirani yangu rafiki yangu kiukweli yupo fresh hata life la kitaa tu hamuwezi maliza dakika hajakuchekesha.
Kwamba Wakuvwanga nae ni mtoto wa mzee Mwapongo? 😂😂😂
Acha kudanganya watu mkuu
 
Mdogo wake wakuvwanga, jirani yangu rafiki yangu kiukweli yupo fresh hata life la kitaa tu hamuwezi maliza dakika hajakuchekesha.
Mbona una changanya mafaili mzee. Mdogo wake wakuvwanga yupi tena.
 
Sasa mmoja hapo ni comedian na huwa anafanya na brother wake clips nyingine. Huyo mdogo wake alikuwa anasimamia mashamba ya wakuvwanga kipindi fulani morogoro.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Usidanganye watu bwana, mwaisa hana udugu wowote na Wakuvanga, wala hana mkubwa wake ambaye ni Comedian.

Mwaisa na mashamba wapi na wapi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom