Kupata mwendelezo wa Season

Kupata mwendelezo wa Season

dadanga

Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
63
Reaction score
47
Nilikuwa naomba jinsi ya kupata mwendelezo wa season zilizotafsiriwa na Madj mbalimbali maana nataka kufungua Video Library.
 
Katoro ,Geita
Kesho au kesho kutwa nitakupa namba ya duka la mshikaji atakuwa anakutumia mwenyewe mana namuonaga anafunga CD nyingi katika box naamini atakuwa anawatumia wateja wa mikoani sasa sijajua kwa idadi ya CD kuanzia ngapi ila mtaongea wenyewe ni hapa AGGREY kkoo
 
Nje ya mada. Mwenye series ya Queen of the South season 5 na kuendelea nahitaji wakuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom