Rasmi stori ya Lwanda Magere Imetua redioni

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,308
Habari ndiyo hiyo, stori iliyoanzia humu ya bwana LwandaMagere rasmi imeanza kusikika leo Radio Free Africa, RFA na ameianzia mwanzo kabisa toka wako Tarime ambapo housegirl Ashura alifanya vitimbi vya kufa mtu.

NB: Kipindi huwa ni kila siku za jumapili kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa tano asubuhi kwa saa za afrika mashariki.

IMG_20210125_223057_496.jpg
 
Toa taarifa kwa kina kipindi kinaanza sangapi na kuisha sangapi
 
Aisee story ni kali balaa.

Mi naomba jamaa kama yupo hapa aiendeleze.

Hicho kitabu ndo simulixi yote?
 
Aisee story ni kali balaa...

Mi naomba jamaa kama yupo hapa aiendeleze.

Hicho kitabu ndo simulixi yote!?
Mbona alishaisimulia humu? Yani wana jf ni kama tunasikiliza kwa marudio.

Kitabu chake kwa sasa kimetoka part 1 ambayo nadhani ndiyo alipoanzia leo RFA mpaka pale walipohamia Mwanza.
 
Kwa mliosikiliza kipindi cha Sitosahau cha RFA siku ya leo jpili Tar 7.2.2021,kisa alichokuwa anasimulia msimuliaji kinafanana kwa 100% na kiss kimoja ambacho kimo humu JF.

Kisa chenyewe ni kile cha dada wa kazi aliyeiambia familia aliyokuwa anafanyia kazi kwamba atatembelewa na wazazi wake na akaipa masharti hiyo familia kwamba siku hao wageni wake watakapofika familia ile wavae nguo nyeupe.

Inaonekana wazazi au tuseme hao wageni wa huyo dada wa kazi walikuwa si wa kawaida.Je msimuliaji RFA ameiba kisa hiki humu JF na kujivisha uhusika au msimuliaji ndie aliyekisimulia kisa hiki hata humu JF kabla hajaenda kukisimulia RFA leo? Au msimuliaji wa JF alikichukua kutoka kwa msimuliaji wa RFA ambaye pengine ndio mhusika mkuu wa kisa hicho?
 
Kule kwa mzee NCHIBARONDA hakuna shida. Wasi wasi wangu Ni pale alipowapiga wanaume bakora za kimkakati. Redioni watasemaje ilhali tcra wanawawinda
 
Huo uzi wenye hiyo story uko wapi?
 
Back
Top Bottom