Nini kimefanya Wasafi washindwe kuujaza Uwanja wa Uhuru

Keagan Paul

JF-Expert Member
Jul 19, 2018
380
1,000
Licha ya Promo zote lakini Wasafi ni Kama hata Nusu ya Uwanja walishindwa kujaza. Ni kwamba Tanzania bado hatuna Wasanii Wakubwa kiivo wa kuweza kujaza Uwanja kama wa Uhuru tu.

Sasa Kama wasafi wameshindwa, Nani ataweza? Nilidhan tuna Wasanii wakumbe kumbe safari bado sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom