Tamthilia za kituruki tam bana na lazima ni kiri nme kua mtazamaji mzuri sana wa hizi tamthilia za kituruki tangu Azam waanzishe huu mradi wao.
Kunazia kwenye Magnificent century(SULTAN) hadi...
Ukiachana donnie yen huyu max zhang namuelewa vibaya may be cause napenda ngumi mno ila ni moja wa actor wanafanya vizuri mchizi anaspidi anavyopigana anatulia anambwembwe tony jaa na mwezake wu...
A PLACE WITH NO NAME.
(Sehemu isiyo na Jina)
SEHEMU YA (1)
Mtunzi........hemed mayugu
UTANGULIZI.
Ni Hadithi nzuri iliyoandikwa na Jumanne katika
kitabu chake alichokitoa mwishoni mwa mwaka wa...
Wale wapenzi wa rock na sio geni kwenu maana kuna nyimbo zinaeleza kuabudu shetani,mpaka kujiua au kufanya lolote, tokea rock kuwa na wapenzi sana.
Kwa nini rock imekuwa kama jicho la tatu au...
Sauti yake ni nzuri inafit vilivyo ndie mshiriki na mshindi wa BSS ninaemuelewa vilivyo kwa uwezo wake wa kuimba!. Sio kwamba wengine hawajui no,wanajua lakini huyu kwangu ndo best till now.
BSS...
Leo ni fainali ya Bongo star search.
Washiriki sita watachuana ili kupatikana mshindi. Washiriki hao ni:
1. Yusuph
2. Magaritha
3. Elisha
4. Petro
5. Neema
6. Zanael
Je, unahisi nani atakuwa...
Habarini wandugu.
Naomba msaada wa mtu kuniorodheshea zile nyimbo kalii zinazo Bamba clubs/sehemu zinazo amsha amsha ziwe za kibongo,afrika,au nchi yeyote ile....
Ahsanten, Karibuni Wana jf
Wanabodi
Nimefuatilia kipindi cha tuelekee Yeriko cha Upendo tv cha alhamisi 21:30hrs hadi 22:30hrs, mgeni kwenye kipindi hicho ni Rose [emoji257] Mhando.
Ameeleza maisha yake, alivyofanyika...
Hallo!
Mimi sio mtu wa kusafiri sana na mabasi.
Lakini kwa muda mrefu sasa, imekuwa kila nikisafiri japo kwa mabasi tofauti tofauti, ni lazima nikutane na filamu zake.
Huyu mwamba yupo kwenye...
WANAWAKE NI WAUAJI
Mtunzi/mwandishi HUSSEIN BAKARI
MTOTO WA BECKER
mtotowabecker@gmail.com
0713 46 26 29
_________________
EPS 01
========
********
“Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa...
Ya kwanza niliitafuta sana aliimba fally ipupa na j martin
Sasa hii ya pili inafanana na hiyo ila jina silijui ina kama sauti yake inasema "kibai bai baiii" jina tafadhali.
Nyingine inaimba...
Washikaji wanapelekwa jela kwasababu ya harakati zaonza kutetea watu weusi huyo mwamba mmoja anafikiria namna ya kutoroka katika gereza hilo lililo South Africa gereza la watu weupe mwamba...
Maisha kwasasa yamekuwa so boring and stressful.
Nadhani ndio maana industry ya comedy inaonekana kukua sana siku za hivi karibuni.
Je, kwako ni Comedian gani bora unayependa kumsikiliza au...
Leo nimeusikia wimbo wake "Nitakushukuru" wa kitambo kidogo ukaniflashback enzi hizo
Ni Wimbo touchable sana uliotendewa haki sana sio kwa kuimba ni hadi video, mama anaimba, mama ana sauti, mama...
Katika pitapita zangu huko Youtube nimekutana na huu wimbo wa Roma Zimbambwe na hii Comment ya Jamaa imenifungua mengi sana, maana toka wimbo utoke sikuwahi kuelewa.
Je, kuna ukweli wowote...
Wapenzi wa movie wanaelewa nini nimeuliza hapo juu.
Naomba nisipoteze muda sanaaa kwenye hili
Kama umewahi kuona series ya blacklist naam utakuwa unamjua fika Raymond Reddington mzee alietumia...
Nafikili sehemu hii itakuwa muhimu kwetu kujuzana movie mpya na link za kutazama au ku download cha msingi kama unamovie umeisikia ujawai kuiona tuambie na sisi tutakupa link utaweza ku download...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.