Kuna kipindi inafika naona tasnia ya kuchekesha Tanzania imeshakufa kabisa, wengine wamebaki kujichetua kama wanawake hata anacho chekesha ukijui, wengine kujisifia na kukashifu watu wakati...
Hawa jamaa wamenipa sababu nyingine ya kutoacha kuwakubali
Kama kawaida ubunifu wao wa hali ya juu unaofanya kuwakimbiza wasanii wengine wa hip hop kwa Trending na Views nchini
Verse ya Stamina...
Poleni na mihangaiko wadau, lakini nina imani kama ushawahi ingia cassino lazima unaijua spin and win au russian roulette na ulishawishika kucheza hii michezo. Yafuatayo ni machache kama tahadhari...
Habar wadau wa jamiforums kama huto elewa heading basi usichangie chochote
Kama wewe ni mdau na mfatiliaji wa Mtandao wetu pendwa basi ningependa kuwauliza siku izi mtandao umekua slow Sana pia...
UZINDUZI WA UVCCM JOGGING CLUB CHAMWINO WAFANA SANA.
Mapema leo UVCCM Wilaya ya Chamwino wamezindua UVCCM JOGGING CLUB kisha wakafanya BONANZA la Michezo mbalimbali ikiwemo cricket, Kula...
Salute..
B.Obama mwanzoni mwa wiki katoa orodha yake ya Movies na Series bora alizotazama mwaa huu. Ifuatyo ni orodha ya muvi bomba nilizotazama mwaka huu 2020. Nb Kuna zingine sio za mwaka huu...
Here are some of my classic hits playlist
01. Ace Of Base - Everytime It Rains
02. Angelique Kidjo - Agolo
03. Donna Summer - Unconditional Love
04. Jade - Don't Walk Away
05. Baltimora - Tarzan Boy
Niko sehemu hapa napata mbili nne za moto, mara nasikia wimbo wa Shania twain ule wa still the one unapigwa, ukanirudisha kumbukumbu zangu nyuma sana.
So wakuu nauliza huyu mwanamama bado...
Ha bari za jioni wakuu..! Kuna jambo nimeliona nataka kupata ufafanuzi kwa wale wajuvi wa mambo,ni mara nyingi nimekuwa nikiona hizi nyimbo za singeli lakini kuna kitu bado sijaelewa naomba...
Carl Weber inawezekana ni very Amateur katika ulimwengu wa Film na Series. Nliona sana BET wakiitangaza hii Series yenye ushiriki wa Black Americans wengi.
Nikashawishika kuipata niitizame...
siku ya jana msanii diamondplatnumz alijikuta akisikiliza na kutazama ngoma za zamani kutoka kwa msanii Qchief.
Iko wazi kuwa Qchief ni msanii pendwa wa diamondplatnumz na hilo mpaka sasa bado...
Hapa tutakuwa tunajuzana nyimbo kali zilizohits kipindi hicho miaka ya 70s, 80s, 90s
Mi naanza na kali hizi
Janet Jackson~ That's the way love goes
Eve~ Gangsta lovin
Santana~ Maria maria...
Ginimbi Dreams nightclub, Club maarufu zaidi jijini Harare. Ni Club iliyochangamka zaidi katika jiji la Harare, Ni club pekee unayoweza kwenda huna kitu na ukarudi mifuko imenona ( Hii ni kwa...
Baada ya msiba wa baba ndugu wote waliondoka na kuitelekeza kabisa familia yetu. Hakuna hata ndugu mmoja aliyeonyesha moyo wa kuendelea kujihusisha kwa namna yoyote na maisha yetu.
Mbaya zaidi...
Kwa wale wapenzi wa movie.
Kuna kampuni ukiona tu nembo yake unakaa kitako vyema unajua hii movie itakuwa kali.
Kwangu kampuni kama
New line cinema
Columbia pictures nazikubali sana.
Ipi...
To be totally independent and sufficient Africa, must have peace b'cause wars bring chaos and Babylon thieving interference, cause destructions, poverty and starvation! Tell and teach the children...
Wadau, napenda tushirikishane nyimbo ambazo kila mmoja wetu anaupenda sana, akiisikia anajisikia yupo on top of the world. Nyimbo ambayo ukiisikia moyo wako unafarijika sana, hata kama una hasira...
Kuna series au drama ya kikorea inaitwa The Penthouse ni moja ya drama kali sana iliyotoka hivi karibuni.Kwa sisi tunaopenda kufuatilia series au drama zinazoongelea maisha halisi yetu basi hii si...
Huyu Dj anapiga ngoma kali za dancehall na ragga ila anaboa anaongea muda wote hata kipindi kinakosa ladha kabisa aisee hebu mwambieni mnaomfaham aisee aache mambo ya kizamani apandanishe mangoma...