Wadau nataka kujua wale tunaofuatlia mziki wa bongo fleva kuanzia miaka 2010 kurud nyuma ni wimbo gan ulioupenda na uliimbwa na msanii gani ambao hauchuji masikion mwako hadi saiz unaukubali ile...
Kwa tukio kubwa kama hili kuwa na ukimya kama huu kisanaa, hasa kwa nyimbo bora za maombolezo, Pengo aliloliacha Marehemu John Komba inaonekana kabisa halijazibika
Zifuatazo ni tovuti bora ambazo zitakuwezesha kusoma tovuti bure au kwa gharama
1. Jamiiforums
Tembelea tovuti ya Jamiiforums kisha nenda katika jukwaa la Sports & Entertainment halafu...
Habari wanajamii,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika
Nimebahatika kuangalia vipindi kadhaa vya hii tamthilia ya slay queen ndani ya Maisha magic na nimeshangazwa sana na ukosefu wa umakini...
Haka kajamaa na crew yake very funny Sana , wakenya kwenye Commedy wametuzidi tuwe Tu wa kweli. Huyu jamaa page yake ya insta ukipitia inakuondolea stress aisee.
Wabongo now sio wabunifu kabisa...
Nimeusikiliza huu wimbo aisee kijana ameimba kwa hisia saaana.. inawezekana ukawa ndio wimbo unaoamsha sana hisia kuliko zote kwenye nyimbo za maombolezo ya msiba wa raisi wetu Magufuli.
Kuanzia...
TIPWATIPWA TETEMA... OOH TETEMA!- 1
MTUNZI: HASHIM AZIZ Hashpower7113
MWANZO
Sauti ya jogoo aliyekuwa anawika kuashiria mapambazuko ndiyo iliyonizindua kutoka kwenye usingizi mzito. Nilifumbua...
THAMANI YA MTU MWEMA, HUNG’ARA AKISHALALA!
Tenda wema nenda zako, msemo tangia enzi,
Timiza wajibu wako, kwa watu na kwa Mwenyezi,
Iache alama yako, kwa kizazi na vizazi,
Thamani ya mtu mwema...
Wengi hua tunadhani muvi za bongo tu ndio zina vitu vya hovyo. Kiukweli muvi za kizungu pia zina maujinga mengi yasiyo na uhalisia. Hivi ni kati ya vitu vya uongo na vinavyokera hasa kwenye muvi...
Kendrick Lamar amezaliwa 17 /6/ 1987 Lamar alianza kazi yake ya muziki akiwa kijana alikuwa hakifahamika kama K-Dot.
• Kendrick Lamar ni miongoni mwa rapa wafupi zaidi katika Hip-Hop, anaurefu wa...
Ni muda sasa imekuwa nilitafakari sana kuhusu hizi tamthilia za kihindi na za kichina zilizotafsiriwa kwa kiswahili. Kwakweli zimepa mashabiki wengi sana hapa nchini kwetu.
Tamthilia hizi...
MAGUFULI, DAIMA TUTAKUKUMBUKA
Kifo hakina rufani, pia hakina huruma,
Kimempoka kundini, Rais mwenye heshima,
bado ali ujanani, mudawe umesimama,
Daima tutakuenzi, Tangulia Magufuli
Kifo hakina...
Nimejaribu kuangalia video zao nyingi walizoweka You Tube, hawa vijana wanatisha. Kwenye hii kolabo nammiss Ringo na Maufundi, wangewaongeza hawa mbona tungecheka hadi kuzimia[emoji13][emoji13]
Igweeee!
Poleni sana ndugu zangu watanzania wenzangu kwa msiba mzito wa taifa letu.
Najaribu kupitia mitandao lkn bado sijapata nyimbo za maombolezo.
Tushirikishane tafadhali ht kwa kutaja...
katika album ambazo zipo underrated basi album ya pili ya Albert Mangwear
Nipe ni dili
speed 120
Bata kila sehemu
kimafia
bonnie and clyde
tuko juu
CNN
wakitaa
Bila muziki
Mapenzi gani
inakosaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.