Itambue GINIMBI nightclub

Itambue GINIMBI nightclub

Joined
Oct 21, 2020
Posts
59
Reaction score
80
Ginimbi Dreams nightclub, Club maarufu zaidi jijini Harare. Ni Club iliyochangamka zaidi katika jiji la Harare, Ni club pekee unayoweza kwenda huna kitu na ukarudi mifuko imenona ( Hii ni kwa jinsia zote ) , Ginimbi Dreams club iliyopo Nkwame Nkrumah avenue ni sehemu maarufu sana kwa watoto wa kishua wa jijini Harare pamoja na wa Zimbabwe wote kwa ujumla pia ni kawaida kukutana na vijana kutoka chi jirani kama Botswana na Msumbiji wakila maisha katika club hiyo.

 
Mmiliki ndo yule aliyekufa juzi kati hapa.?
 
bongo hatuna ginimbi yetu ambayo tunaenda bila kitu.
 
Back
Top Bottom