Uzi maalumu wa kupeana nyimbo kali za kitambo hicho yaani Throw Back Thursday Hits Song #TBT

khamis kilo

JF-Expert Member
May 23, 2016
1,050
1,199
Hapa tutakuwa tunajuzana nyimbo kali zilizohits kipindi hicho miaka ya 70s, 80s, 90s

Mi naanza na kali hizi

Janet Jackson~ That's the way love goes
Eve~ Gangsta lovin
Santana~ Maria maria
Ashanti~ Happy
Luniz~ 5 on it
 
DDC Mlimani Park - Usitumie pesa kama fimbo
Remmy Ongala - Narudi Nyumbani
Marijani Raajab - Namsaka mbaya wangu
Mbaraka Mwinshehe - Mtaa wa saba
Kilwa Jazz Band - Nipate lau nafasi
Mbaraka Mwinshehe - Jogoo la Shamba
 
DDC Mlimani Park - Usitumie pesa kama fimbo
Remmy Ongala - Narudi Nyumbani
Marijani Raajab - Namsaka mbaya wangu
Mbaraka Mwinshehe - Mtaa wa saba
Kilwa Jazz Band - Nipate lau nafasi
Mbaraka Mwinshehe - Jogoo la Shamba
Ongezea
DDC Mlimani tedy mwana Zanzibar na huruma kwa wagonjwa
 
Sisiem chama lao~lumumba jazz band
Bao LA mkono~greenguard marquiz.
 
California love - 2PAC
hit em up - 2PAC
do for love - 2PAC
still - DR DRE
sky the limit - BIG
Jamboree - N B Nature
Changes - 2PAC
All eyes on me - 2pac
 
All of you by Diana Rose and Julio Iglesias,
Huyu Julio ni baba mtu,mwanawe ndo yule Enrique Iglesias
 
Back
Top Bottom