Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Today marks the 25th anniversary of Mariah Carey classic hit 'Always Be My Baby' Artist: Mariah Carey Title: Always Be My Baby Album: Daydream Genre: R&B Label: Columbia Records Year: 1996 Oh...
1 Reactions
0 Replies
457 Views
Habari wakuu, Naomba kujua ni wapi ntapata old disc za wasanii hawa George Michael and WHAM, Babatunde Olatunje kwa Dar es Salaam. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Habari wana JF Leo ningependa ku share na nyie hivi unadhani kwanini bongo movie zetu bado tunasitasita japo kuna watu wenye uwezo mkubwa wa kufanya mambo .. Embu chek hii clip alafu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana JF. Kifupi, ningependa tujadiliane kuhusu utafauti kati ya watu hawa wawili, Famous na Superstar! Ninavyofahamu, FAMOUS ni mtu maarufu, haijalishi umaarufu wake umetokana...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hili pindi la mangoma ya kisauzi kila J2 Wasafi FM kwangu ni balaa sana, kiufupi wasauzi wanamabiti mazito na ya maana sana ila sijui why ngoma zao hazivumi. Ukiangalia hata biti za wimbo wa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Riwaya: MUME GAIDI Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Ilikuwa ni kipindi cha mvua za masika, na siku hiyo mvua ilikuwa inanyesha. Kijana Patrick alikuwa...
4 Reactions
156 Replies
31K Views
Mimi huwa napenda old school (miziki ya kale)80's,90's na early 2000. Kutokana na uchache wa muda nyimbo hizo kuchezwa redioni,napenda kwenda YouTube kusikilizana ikibidi ku download. Weekend...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Hello JF, Mwana dada gani humu has got a gwan??:p:p:cool:;)🤣
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Kusema kweli hawa jamaa wa Tamaduni Music nawaelewa sana, uandishi wao, beat wanazotembea nazo na content/maudhui wanayoimba huwa nabarikiwa sana. Na hivi Niko zangu geto nasikiliza ENZI ZA UTOTO...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Haiuzwi Ukiwa under 18 mda usije ukamponza mtoto/ Kama una dozi kunywa hata soda ndogo/ Mdogomdogo sio kreti libaki empty/ Utajikuta bwana mdogo ume lost imebaki chenji/ Ukaleta tu madrama na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mate Kuna tabia baadhi ya watu waume kwa wanawake wamekua wakisema kwamba wao kwao kupendwa au kupend sio kitu cha muhimu hapa duniani, wengine hufika mbali zaidi na kusema kwamba nilizaliwa peke...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Leo hatimaye Isindigo the need imeisha rasmi ITV japokuwa South iliisha muda baada ya kuonyeshwa kwa miaka 21 mfululizo. Wengine tumekua nayo toka watoto mpaka now watu wazima tuna watoto pia...
17 Reactions
71 Replies
8K Views
Yanga katuroga Nan? Haiwezekan uongozi na Benchi la ufundi wanashindwa kuelewa Mapungufu yako wap Kwa jinsi wachezaji wanavyo cheza wa yanga ni dhahir kabisa team haiko Sawa mfano mechi ya Leo...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Please download cc ONTARIO
5 Reactions
36 Replies
25K Views
I see me ni mdau mkubwa sana wa Combat series; Hapa niko na; 1.Strike Back (Season 1-8) 2.Brave (Season 1&2) 3.Deep State (Season 1) 4.American Odyssey (Season 1) 5.Seal team (Season 1-3)...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Niamini leo hii sitamani mwingine tena Kazi zangu mishe mishe ntarudi nyumbani mapema Unachonipa baby sitokaa nikuumize eeh Na zile raha unazonipa wewe Napenda unavyokata na kunipa taratibu Mimi...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwenye kujua wimbo wa Sugar daddy uliimbwa na msanii mwana mama wa kikongo tafadhali anijuze jina.
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Wakuu naomba mwenye kuzijua zile ngoma kali za Hip hop zinazogusa maisha yani zinazoimba kuhusu Haso zitajwe hapa nahitaji kuzipakua. Mafano kama zile za Darasa. Sikati tamaa,Nishike Mkono n.k...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Hapo kwenye kubali kiaina kulikuaga na mzuka kweli., ..;)🤣🤣🤣
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari za wakati huu, nahitaji msaada kidogo kwa yeyote ambae anajua application ya movie ambayo unaweza ukapata movie yeyote ama series yeyote ikiwa ina subtitles ndani yake maana ninayo moja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom