Wazee wa Casino tukutane hapa

Wazee wa Casino tukutane hapa

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
14,227
Reaction score
32,028
Poleni na mihangaiko wadau, lakini nina imani kama ushawahi ingia cassino lazima unaijua spin and win au russian roulette na ulishawishika kucheza hii michezo. Yafuatayo ni machache kama tahadhari kwa wadau:

Ukiingia cassino unakua na mungu asilimia 20 na shetani asilimia 80.

Kutoka na pesa kwenye huu mchezo ni bahati, na ukipata pesa lazima utarudi tena kucheza.

Ukienda na pesa ya watu jiandae kurudi patupu.

Kama unapesa nyingi usithubutu kwenda ukisema nachezea elf 10 naondoka, my frend utajuta.

Kutoka ndani ya cassino ni either umekula pesa nyingi au umeliwa zote[emoji23]

Mimi niliwahi pigwa ada na niliirudisha wewe je.

Hayo ni machache juu ya spin and win, hebu tupeni experience wadau.

download.jpg
 
Basi mwenzio picha nayopata kasino ni full wadada kucheza uchi, ngono nje nje, watu wanakula unga hadharani, yaani muziki mkubwaa, misigala na mimoshi, kamali, yaani full ushetwani. Ndio hivyo sheikh wangu?
 
yes mimi nimebase kwenye kamari
 
Tupe location mkuu, vipi kuna kiingilio?
 
Kwenye roulette winning probability ni 37 to 1
Bora kubeti tu soccer
 
Basi mwenzio picha nayopata kasino ni full wadada kucheza uchi, ngono nje nje, watu wanakula unga hadharani, yaani muziki mkubwaa, misigala na mimoshi, kamali, yaani full ushetwani. Ndio hivyo sheikh wangu?
Nimecheka sana
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom