Diamond Platnumz amtaja Q-Chief kama msanii wake wa Bongo Fleva wa muda wote

Fumbokhan

Member
Jan 16, 2021
6
20
siku ya jana msanii diamondplatnumz alijikuta akisikiliza na kutazama ngoma za zamani kutoka kwa msanii Qchief.

Iko wazi kuwa Qchief ni msanii pendwa wa diamondplatnumz na hilo mpaka sasa bado halijabadilika,DIAMOND kupitia instastory yake siku ya jana ameendelea kusisitiza kwa kusema kuwa Q CHIEF ni msanii wake pendwa wa muda wote na ngoma inayoitwa #KamaYule kutoka kwa Q CHIEF ni ngoma yake pendwa ya muda wote.

IMG_0933.jpg
 
Back
Top Bottom