Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,846
Wadau, napenda tushirikishane nyimbo ambazo kila mmoja wetu anaupenda sana, akiisikia anajisikia yupo on top of the world. Nyimbo ambayo ukiisikia moyo wako unafarijika sana, hata kama una hasira, masikitiko na kukata tamaa inakufariji kupita maelezo.
Inawezekana pia ikawa ni nyimbo ambayo unataka kumtuza (dedicate) mtu umpendae kwa dhati ya moyo wako,nyimbo ambayo hata siku hautokuwepo duniani akiisikia akukumbuke.
Kwangu mimi nyimbo ninayoipenda kuliko nyimbo zote duniani inaitwa ADDICTED - Imeimbwa na Enrique Eglesias