Try not to came in last 47 seconds

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habar wadau wa jamiforums kama huto elewa heading basi usichangie chochote

Kama wewe ni mdau na mfatiliaji wa Mtandao wetu pendwa basi ningependa kuwauliza siku izi mtandao umekua slow Sana pia Nashindwa ku Danload pia qwllalit imekua ndogo na matangazo mengi Msaada wenu jamani
 
Back
Top Bottom