Ngoma ya Drake aliyomshirikisha Kayla na Wizkid. Ngoma iitwayo One Dance imefikisha Streaming Bilion 2 kwenye mtandao wa Spotify.
Unadhani Wizkid anahitaji pongezi kwa hilo?
Kama wewe ni mfuasi wa muziki, basi utakubaliana na mimi kwamba hii kazi ni ya kiwango cha kimataifa (World Class).
Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi...
Kwangu mimi huyu ni rapa bora wa muda wote ninamuweka kundi moja na marapa bora kabisa waliowahi kutokea Tanzania. Sijaona kazi yake yoyote ambayo hajaitendea haki.
Huyu jamaa hajawahi kukosea...
Nitajie movie zinazohusiana na Crimes, Sex drama, na comedy. Zote ziwe za black Americans. single movies.
Mfano addicted,get rich or die trying, little man etc
Wakuu habari za asubuhi. Natumaini mmeamka salama salimini.
Kama kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Naomba kwa yoyote yule anayefahamu nyimbo za hip hop zenye mapigo kama ya msanii Eminem...
HOFU
SEHEMU YA KWANZA
PORT ELIZABETH
Ilikuwa tarehe 24 Machi, baada ya mauaji ya
kikatili ya waafrika 19, katika kitongoji cha
Langa, karibu na Vitenhage; mji ulio karibu na
ule mji wa...
RIWAYA: TANZIA
MTUNZI: MAUNDU MWINGIZI
SEHEMU YA KWANZA
Ilikuwa ghafla tu, Pepo kali zilipovuma karibu kila
kona ya wilaya ya Kibondo, mkoani kigoma.
Taratibu mawingu mazito yakalifunika anga...
RIWAYA ;MKAKATI WA KUELEKEA IKULU
MTUNZI: HUSSEIN WAMAYYA
SEHEMU YA KWANZA.
Utangulizi
Wakati Baba wa Taifa anamlea Masurufu Hussein
Masurufu hakuwa anajua kuwa analea mtu ambaye
alikuwa...
RIWAYA; SAHIHI YA KIFO
MTUNZI; ISSA MBAGA
SEHEMU YA KWANZA
Jua lilikuwa likiaga upande wa mashariki na
kwenda kuungana na magharibi ili kukamilisha
siku, huku likisindikizwa na hali ya hewa...
MUSICIANS ACROSS AFRICA / WAIMBA MIZIKI BARANI AFRIKA.
Tamasha la ushindani wa muziki litajumuisha nchi zaidi ya 13 barani Afrika tukianza na TANZANIA.
Hivyo tunaomba wanamuziki kujisajili...
MUSICIANS ACROSS AFRICA / WAIMBA MIZIKI BARANI AFRIKA.
Tamasha la ushindani wa muziki litajumuisha nchi zaidi ya 13 barani Afrika tukianza na TANZANIA.
Hivyo tunaomba wanamuziki kujisajili...
Hawa wasanii wa trending lazima wajue hzo nyimbo wanazotoa sasa hivi kutokana na maudhui yake ni kwa siku 21 tuh za maombolezo,
Inabidi wajifunze kwa wakongwe sio linapotokea tukio tu unawahi...
KISA : SITASAHAU (KISA CHA KWELI)
KISA HIKI KIMEKAMILIKA
KIMEANDIKWA NA : NIHZRATH NTANI
CHANZO : BURE SERIES
SEHEMU YA KWANZA
Kwa kumbukumbu ya wazazi wangu.
"Wakati mikono yangu haiwezi tena...
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA
IMEANDIKWA NA : NYEMO CHILONGANI
CHANZO : BURE SERIES
SEHEMU YA KWANZA
Cassian alikuwa kimya, macho yake yalikuwa yakiangalia baharini huku mawazo yake yakiwa mbali...
Habari wakuu
Tukiwa katika wakati huu wa majonzi naomba mwenye nyimbo hizi mbili za kwaya ya vijana Mabibo(Original version)anitumie.
1-Mwanga wako Bwana uniangazie
2-Sifai mbele za Bwana(Kama...
Siku hizi naweza kukaa siku nzima nasikiliza muziki kutoka Afrika bila kuchanganya na ile kutoka Ulaya na Marekani. Viwango vimeanza kuwa vizuri sana huku kwetu Afrika kiasi kwamba Muziki wetu...
Simulizi : FACEBOOK IMEHARIBU MAISHA YANGU
Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA
SEHEMU YA 1
“"Reshmail Manyama want to be your friend.'confirm' 'ignore' ulikuwa ni ujumbe ambao macho yangu...
MTOTO WA MAAJABU: 1
Mariam alikuwa na mawazo sana kutokana na ile
mimba aliyobeba kupitiliza muda wa kawaida wa
kujifungua yaani miezi tisa kwani kwasasa mimba
yake ilifikisha miezi ishirini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.