KifoNyimbo gani unaikumbuka man ,ili wale.wa 2000s watuache!!
Nimeandika makusudi tu mpendwa 😄😄Sio Remmy Ongala
Ni Lemi Olanga 😂
Wachangiaji hapa hawatokuwa wengi maana vijana wengi wamezaliwa enzi ya kikwete hawawezi kumjua Dr RemmyKila nyimbo ya huyu jamaa sina neno tofauti na kusema hakuna anae weza kuimba dance kama yeye karne hii!!
Nasema uongo ndugu zanguni??
Jamaa hatari sana!Daaaahhh mwana eee nimetafuta albam yale leo jamaa alikuwa mkosi.