Mmejitahid lakini binafsi naona clip hiyo ime lost touch na uhalisia hatuna connection na hao characters hatujui ni wana background ipi,(i am wrong kama kuna episodes za nyuma ambazo sijaziona labda zilikuwa zinaelezea characters) kama hamna ujue ni tatizo hilo, hata kama nishort movie unaweza uka establish personality ya characters wako hata kwa ufupi, binafsi naona strangers wanapigana tu hata huyo aliekuwa shot sipati ile hisia maana simjui namuona tu, unavyotengeneza jaribu kuunganisha hisia za movie na watazamaji. Hata kama ni action movie sio watu ndio wawe wanapigana tu for silly reasons, hapana establish kisa kizuri
Movie iwe na uhalisia usifanye kitu kwa vile kinaonekana Cool kwenye screen ila hakimake sense, hapana weka action ambayo binadamu angekuwa kwenye hii situation angefanya kama hiko kipande anashoot bila kuangalia sijaona kama kina uhitaji wa kufanya hivyo ili aonekane cool kama kwenye favourite action movie fulan unayoipenda...hapana nahis ungeweza weka hata”anamuangalia anamuuliza kwanini umefanya hivi? Maybe “angejibu jambo na sisi tungeelewa zaid agenda inayoendelea” labda akawa anabeg kuomba msamaha asiuawe kwamba katumwa maybe au nn, tunapata na hata perception ya uyo jamaa mtekaji, kuweka series ya crazy actions ambazo hazileti manaa si ubora wa movie ya action.
Nmeandika mengi kidg nahis Inatosha najua movie yako sio kiwango cha juu sana upo unaaza kama ulivyosema unaomba comments umepata za wadau hapo, muhimu ni ukifanya jambo hata kama ni dogo fanya kiukweli, mapungufu madogo madogo ndio yanashusha thamani kazi hata unaonekana incompetent, usiache hata kakosa kadogo jaribu kukimbizia perfection najua hautofikia kuwa perfect sema utakuwa umefanya kazi nzuri ya kiwango bora.
Kila la kheri [emoji110]