Sodoku Myebusi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,304
- 2,995
Wimbo wa Binadamu Ndanda Kosovo. anaimba sasa wanaanza kulia ooh nuhu,,ooh nuhu tufungulie safina
Wimbo wa marafiki - nadhani ameimba mao santiago - anasema marafiki wote wamenikimbia mimi upendo tulipatana umefika wapi..kibwagizo cha usikumbatie vichochoroni kuna vibaka wengi sana.
naomba mwenye hizi nyimbo anisaidie kwa kweli. nazipenda nakumbuka mbali sana miaka hiyo nikiwa kidato cha sita shule moja mkoa wa Pwani.