Ukipewa Darasa ufundishe maadili utaweza? Au ndo kupiga kelele tu"Ana dela jipya chupi ya zamani"... nyimbo kama hii ya Miss Buza inafundisha nini jamii na nyie mmeruhusu ipigwe?
Badilisheni jina kutoka BASATA muitwe BANGOTA
Kuna tatizo gani hapo?"Ana dela jipya chupi ya zamani"... nyimbo kama hii ya Miss Buza inafundisha nini jamii na nyie mmeruhusu ipigwe?
Badilisheni jina kutoka BASATA muitwe BANGOTA
Hivi huu wimbo sio wa wcb?Wanawawinda Wcb tu ili wapate mshiko hao wengine hawana faida