Ile ya 2017 ndiyo flash alikuwa na upuuzi mwingi zaidi. Hii movie wamejitahidi sana japo kila mto anaponda running time, masaa 4 si mchezo.
Nafikiri kama WB watamruhusu Zack Snyder kuendeleza hii movie part 2 itafuatia kwenye stori ya Knightmare aliyoota Bruce, Kwamba Darkseid atarudi ,atafanikiwa analotaka na kumtumia Superman kama silaha yake kubwa.Masaa 4 ni machache saana ingefaa iwe na masaa 6 ili movie inoge.
Me nataka kujua movie inayokuja je Darkseid atakuwepo kama jambazi?
Itakuwa poa sana japo niliona kwenye animation ya justice league ya 2020 Darkseid alipigwa na Superman na kuja kupigwa tena na Trigon.Masaa 4 ni machache saana ingefaa iwe na masaa 6 ili movie inoge.
Me nataka kujua movie inayokuja je Darkseid atakuwepo kama jambazi?
Nafikiri kama WB watamruhusu Zack Snyder kuendeleza hii movie part 2 itafuatia kwenye stori ya Knightmare aliyoota Bruce, Kwamba Darkside atarudi ,atafanikiwa analotaka na kumtumia Superman kama silaha yake kubwa.
Why 9/10 na siyo 10/10