Nini shida inayopelekea watanzania hatuweki movie NETFLIX?

Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
3,706
4,752
Nimejaribu Mara kadhaa kutafuta Ila hakuna movie ya kibongo lakini kwa wenzetu wakenya naona wameweka movie zao.

Swali linakuja inawezekana bongomovie hazijafikia level za kimataifa au vipi?
 
Nimejaribu Mara kadhaa kutafuta Ila hakuna movie ya kibongo lakini kwa wenzetu wakenya naona wameweka movie zao.Swali linakuja inawezekana bongomovie hazijafikia level za kimataifa au vipi?

Shida ni Vigezo aina ya Camera, Qualification za Directors na hata uzalishaji tu wa picha na sauti mfano Sauti lazima iwe certified na Dolby sasa huo uwezo bado ndugu
 
Sidhani kama movie zetu zina viwango vya kuingia Netflix.

Nilishawahi kusikia soundtracks za interstellar, gladiator na transformers kwenye movie za bongomovie

Soundtracks ambazo huwa wanazitoa YouTube.

Tatizo kubwa jingine ni soundtrack kushindwa kuendana na scene ya movie husika.

Mpaka hapo hilo ni tatizo la kukosa ubunifu hivyo mtu anayejitambua hawezi kuangalia hizo movie.

Siku wakibadilika labda watu wataanza kuangalia movie zao.

Hakuna uzalendo kwenye vitu vibovu.
 
Nimejaribu Mara kadhaa kutafuta Ila hakuna movie ya kibongo lakini kwa wenzetu wakenya naona wameweka movie zao.

Swali linakuja inawezekana bongomovie hazijafikia level za kimataifa au vipi?
Story haziereweki pia ubora wa picha mdogo sauti za movie hazijakaa sawa pia sounds tuna copy kutoka kwenye movie zingine hayo ndio matatzo yapo hapa na mengi sana bado yapo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom