Album ya DJ Khalid...

Album ya DJ Khalid...

barcelonista

Senior Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
158
Reaction score
150
Dj Khalid baada ya kufanya vizuri na Album yake ya father of Asad. Sasa amerudi kivingine. Amerudi na Album ya Khalid Khalid itakayo achiwa hivi karibu.


Track gani unahisi itakuwa moto zaidi, kwangu track no 11.

Forgive Me.

View attachment 1767015

Screenshot_2021-04-28-23-02-12.jpg
 
sasa, kama ataishusha hivi karibuni, umewezaje kupata vionjo vya hiyo track no. 11? maana siwezi kuangalia title ya track nikaupenda!

una link ambayo wazee wa kazi wamesha ipeleka? hizi ndio resources tunazo hitaji mdau!
 
Huu mzigo asubuhi nilikuwa nataka kuuchukua nione amekuja na nini tena kwenye hii album.
 
Wewe ndo mjinga maan khalid ni Dj wew unaladhimisha aimbe
Mjinga ni wewe ambaye hata kuandika tu hujui!

Na hata Mjingamimi nadhani si mjinga kuliko wewe ambaye hata hujui Msanii ni nani? ama usanii unajumuisha nini!

Ficha upumbavu wako lakini si ujinga wako maana hutakuondoka ukiuficha!
 
Jay Z kamficha Sana Nas ila Hata We Going Crazy Kuna Utundu H.E.R Kaufanya cyo Wa Kawaida.. in short all album Ipo On Point
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom