Aslay kuwa na shoo ya watu 100 Sababu ni nini?

Kawaida tu,show nyingi za huko zipo hivyo sema hao wanaojaza ukumbi either huwa wanatumia ukumbi mdogo au wanasubiria dakika za mwisho wanapunguza bei za kiingilio na mwisho watu wanaingia bure,picha mwaaa hewani full masifa wamejaza ukumbi.

Aslay hata mikoani bado panalipa akuje tu
 
Back
Top Bottom