Wasanii kama kina Remmy Ongala wamekwenda wapi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,557
44,735
Maana sasa hivi hawa vijana wa Bongo Fleva wanaimba matusi matupu, hata aibu hawana madhara kwenye jamii yatazidi hasa kuporoma kwa maadili.

Big up kwa wasanii wa zamani Bob Rudala, Remmy Ongala na wengine wote ambao mmeutendea muziki haki yake. Shukrani sana.
 
Hawakuwa serious, huwezi imba nyimbo kama" kifo,kalubandika na mwisho wa mwezi kuna mambo "kwenye ukumbi wa dance
 
Hao Zama zao xishapita alaf hii ya kutokukubaliana na wakat uliopo ndo tatizo kubwa la watanzania , hawapo tayar kuendana na dunia ilipo, na hii ilimgharimu hata jiwe , fikra za nyerere alitumia nguvu nyingi kuziapply kwenye dunia ya kidigital .....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom