BASATA kwanini hawazigusi nyimbo za singeli?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,832
Kuna matusi mengi mno kwenye singeli..

Why BASATA hawagusi hizi nyimbo?

'kalia chupa..kasema kalia chupa'

'mke wangu nenda kadange'

'ntafutie madanga'

'nikipata mzungu nampeleka kwa mpalange'

Mimi sio sio msikilizaji wa singeli lakini hayo matusi nimeweza sikia few times nikisikia hizo nyimbo hata kwa mbali

Kibaya zaidi watoto wanaimba hizo nyimbo..

Why BASATA hawazigusi?Only Wakiimba Bongofleva?
 
Hata mimi huwa najiuliza

Kuna madanga ya mke wangu humo ndani ni matusi tu
 
😂 Aisee umenena hawa jamaa ni vichaa wanamaneno yao ambayo huwezi sikiliza mbele ya unaowaheshimu mi naona Wale jamaa hawana hela wala fame nje ya maeneo ya mziki (sana sana mkoa mpaka mtaa) wakifungiwa.. BASATA hawapati fame wala ukiwapiga fine hawana cha kulipa! Hii coment haiwahusu Masingelist wakubwa kama msaga sumu na the like!
 
Yaani nyimbo za singeli lazima ziwe na tusi au neno ambalo publically sio zuri kusikika.

Asilimia kubwa huu ni muziki wa kipumbavu kutoka kwa jamii maskini ambayo haijastaharabika hata kidogo na isiyo na elimu..uswahili uswahili na uhuni mwingi..
 
funny songs sometimes
"Chupi la mani fongo mnato aaiyaa iyaa"

Baraza lina wakati mgumu sana sijui wanawezaje kuzuia hizo nyimbo
 
Yaani nyimbo za singeli lazima ziwe na tusi au neno ambalo publically sio zuri kusikika.

Asilimia kubwa huu ni muziki wa kipumbavu kutoka kwa jamii maskini ambayo haijastaharabika hata kidogo na isiyo na elimu..uswahili uswahili na uhuni mwingi..

Ouch, hiyo attitude punguza kidogo aisee Jamii maskini na ni jamii na ina standards

Kila jamii ina shida zake rich people wanazingua kwa upande wao, masikini nao hivyo hivyo wanafeli basi taabu tu
 
Yaani nyimbo za singeli lazima ziwe na tusi au neno ambalo publically sio zuri kusikika.

Asilimia kubwa huu ni muziki wa kipumbavu kutoka kwa jamii maskini ambayo haijastaharabika hata kidogo na isiyo na elimu..uswahili uswahili na uhuni mwingi..
Dah maskini wenzangu mnaona tunavyosemwa huku!
 
Asilimia kubwa huu ni muziki wa kipumbavu kutoka kwa jamii maskini ambayo haijastaharabika hata kidogo na isiyo na elimu..uswahili uswahili na uhuni mwingi..

Daaaah hatari sn
 
Kiukweli zile nyimbo hazina lugha nzuri, lakini pia kutokana na maneno ya misimu wanayotumia na hayajawa rasmi kwenye lugha ya kiswahili inakuwa vigumu kuwachukulia hatua.

Mfano mtu aambiwe umeimba matusi "nampeleka kwa mpalange" atajitetea alimaanisha atampeleka Buza.

Hivyo ni lugha za misimu ambazo pia ni tata!

Ukiacha lugha zao hizo mbaya wanazotumia, wanasaidia kuwaburudisha tabaka fulani ambao nao ndio starehe yao kutokana na hadhi yao au mazingira yao
 
Mke wangu ana danga lakini mwenzenu ananikosha.

Shida sana
 
Back
Top Bottom