Movie za Kikorea kumbe ni hatari

Mukuu123

JF-Expert Member
May 7, 2019
319
1,221
Aisee kuna movie nilikuwa naangalia leo ya Kikorea inaitwa Kingdom ni movie ya series nimeangalia season ya kwanza nimependa sana namna ilivyo wameni impress kuzidi kuwafuatilia zaidi ebu naomba mjaribu kunitajia movie zingine za kikorea nazoweza ziangalia ambazo ni kali pia ,ziwe series tafadhali
 
ukitaka kupewa nyota na medali kwenye series za kikorea lazima upitie kwenye series yao moja inaitwa jumong kama sijakosea...

kana aujacheki hiyo jumong aupati kadi ya uanachama wa korean series flms group (KSFG)

Jumong ya muda sana chief nilishaiona kitambo sana
 
aisee kuna movie nilikua naangalia leo ya kikorea inaitwa kingdom ni movie ya series nimeangalia season ya kwanza nimependa sana namna ilivyo wameni impress kuzidi kuwafuatilia zaidi ebu naomba mjaribu kunitajia movie zingine za kikorea nazoweza ziangalia ambazo ni kali pia ,ziwe series tafadhali
icheki DONG YI na JACKPOT mkuu..hautojutia.
 
Kacheki hizi hutajuta aisee
1-princes jamyung go
2-dong Yi
3-yong pal-ya mjini
4-queen sendeok
5-vagabond-ya mjini
6-bridal mask-ya mjini
7-empress ki
8-giant
9-king gwangaeto
(damdoek)
10-chunno
11-legend
12-crown prince
14_six flying dragon
15-moon lovers
16-dong bong su
 
Best movie kwa genre

Medical

Dr.Stranger
Good doctor
Doctor crush
D-Day
Sign
Hospital playlist season 1 and 2 (season 2 inatoka next week)
Hospital ship
Dr.Jin

Melodrama

Real Monster
East of Eden
Mask Woman
Woman of ambition
Innocent deffendant
Swallow the Sun
Vicenzo
Itaewon class
Sky castle

Romantic comedy

Kill me heal me
Strong woman do bong soon
She was pretty
Eulchacha waikiki
Secretary Kim
World of married
Mother
Glass mask
King of hotel
King of baking

Action

Iris
Iris 2
Vagabond
King 2 Hearts
Athena
Bad papa
Undercover
City hunter
Descendant of the sun
Historical

Mr.Sunshine
100 days my prince
Six flying dragon
Gyebaek
Mr.Queen
Queen Seo ndeok
Hwarang
Mirror of the witch


Science and Fantasy

Memory of alhambra
Sissyphus:The myth
Alice
W two worlds
Circle two worlds connect
Goblin
My girlfriend is gumiho
Tale of gumiho
Legend of blue sea
Blood
Life on mars
Sketch
Hotel de luna
Rugal
Hwayugi

Crime Thriller

Voice season 1,2,3,4
Mouse
Return
Beyond evil
Criminal mind
Flower of evil
Hidden killer
My dangerous wife
 
A MAN A CALLED GOD
IMG_20210417_185651.jpg
 
Wakuu, kuna series moja ya kikorea ni ya muda kidogo ila kali sana kwa mwenye kuijua jina tafadhal,
movie yenyewe ni zile mambo za historical, war ambayo kuna sehemu vita inaenda kuanza halafu starring kasimama juu ya zile kuta zao ndefu (fortless) na jeshi lake, then maadui wanakuja na demu wa mshikaji wamemteka halafu wamemfunga kwenye mti wamemtanguliza mbele kama ngao (shield) kwamba jamaa akitoa order ya kushambulia ina maana kamuua demu wake hivyo mshikaji anasita sana kutoa order ila demu wake anamwambia asikubali kuacha nchi itekwe bora amuue, kama sikosei jamaa alimpiga mshare ila huo moto wake baada ya hapo ilikuwa hatari.
mwenye kujijua tafadhali!!!
 
Back
Top Bottom