Lily Ommy Vs Jonijo

Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,577
3,143
Nani mkali kati ya Lil Ommy na Jonijo? Nini sababu ya hawa jamaa kutokaa sehemu moja, wana ugomvi gani?
 
Kwa upande wa intavuu ommy anaweza sana na ni mtu makini upande wa kumhoji msanii..jonijo kwa swaga fulani na vimaneno vinamlinda..in totally lil ommy Yuko mbaaali saaaana
 
Yaani unamfananisha the king of interviews
lilyommy,the guy your mother your sister love?
Acha aisee lilyommy ni international presenter sio sawa na jonijoo ni bado sana kwa ommy

namkubali sana pia jonijoo kwa swag na misemo yake ya kisera flani hivi,lakini bado yuko local sana kama kina b dozen tu,

and the winner is lilyommy.
 
usimfananishe dozen na huo upuuzi wewe dozen ni habar ingine
 
Bdozen hamna kitu pale ni Utopolo ule
uwezi mlinganisha jonijoo na Bdozen
jonijoo anaswag na misemo ya kihuni wanayoipenda vijana,
hata kimuonekano tu,utagundua jonijoo ni next xana kuliko huyo bdozen

sema Mashabiki wa cloudsfmtz ni kama mbuzi mmezoea kula majani hamjui Kama kuna vingine zaidi ya majani.
 
Acha kumfananisha king wa afternoon show Bdozen na vitu vya kipumbavu, kuwa na adabu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom