Uchaguzi TFF

wandu waruwa

Senior Member
Dec 20, 2020
133
96
Hatuhitaji wanasiasa katika michezo kama waleice karia tunahitaji mtu sahihi anaefahamu nini maana ya michezo atakae jengo msingi ya michezo kuanzia huku chini huko AFCON NA WORLD CUP tutafika tu pasipo nguvu kubwa na tutafanya vizuri zaidi maana tayari tulishajiandaa

Wakina walece wako wengi sana kwenye huu uchaguzi hakuna alichokifanya zaidi ya siasa na tumbo lake hajui kuwa mchezo ni ajira hata aulizwe nini maana ya michezo hajui! kwa vijana watu kama hawa ndiyo wanaoliangamiza taifa kwa maslahi binafsi toka enzi za ndolanga na FAT yake hakuna kitu Ikaja TFF leordga tenga alifanya mapinduzi makubwa alivyokabidhi kijiti ndiyo hao akina mlinzi walioishia jela na huyu mwanasiasa uchwara kwenye michezo.

Mimi sihitaji kuona watu wakiishabiki simba na yanga tu tena kwa furaha kubwa tunahitaji kuwa na club nyingi na kubwa tunahitaji professional tunahitaji tucheze kimataifa kulitangaza taifa letu na siyo vinginevyo hutuhitaji tena watu aina ya kina wailece karia tunahitaji watu wenye maono tumbo baadae.
 
Ebu tuwekee picha ya Karia kabla ya kuwa Rais wa TFF na ya sasa akiwa Rais wa TFF
 
Back
Top Bottom