Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Natamani sana watu wote tuwe kama Mandonga, si kuwa watu wa kushindwa ila kuwa na ile roho ya upambanaji. Mandonga anajiamini sana, ni mtu anayekuonyesha kwamba kila kitu kinawezekana! Hutakiwi...
7 Reactions
0 Replies
1K Views
TUJIKUMBUSHE [emoji4]SENSA NA NGOSWE, "Penzi kitovu cha uzembe" KISA CHA NGONSWE NA SENSA [emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427] MITOMINGI; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari yenu jamii, mko salama jamani, inaniuma namimi, twapotea hasirani, twakosa tiba kwanini, nchi ni yako namimi, leo nahitaji nipate, afya ya uchumi. watu wanahangaika, ajira zionekani...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Mtunzi Nyemo Chilongani SEHEMU YA 01 Nakumbuka ilikuwa mwaka 2005, mwaka ambao nilimaliza kuchukua Diploma yangu ya Uandishi wa habari katika Chuo cha Uandishi cha DSJ (Dar es Salaam School of...
15 Reactions
269 Replies
36K Views
Ridhiki haiji yenyewe hata ukilala mlango wazi/ Maisha Bora yanajengwa na juhudi yako ya kazi/ Kazi sio kushuka, kazi ni kupanda ngazi/ Ukipotea,umepotea hata ukikesha unavunja Nazi/ Haishangazi...
0 Reactions
1 Replies
394 Views
Habari wakuu, Naomba msaada ili niweze kupata nafasi ya kuonyesha uwezo na kipaji changu cha kuimba ili kutengeneza nafasi ya kuweza kurekodi wimbo. Pia connection na wadau wa muziki nahitaji...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Singida, Dodoma... Man, I wish ungemuona, anavyojitingisha Jinsi nyuma alivyoshona Yeah! Singida, Dodoma... Yeah, mtoto amenona na anavyotetemesha Zaidi hata tranformer/ X2 (Verse 1) Yo! Kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni Moja ya series Bora kabisa Kwa mwaka huu humu ndani kuna visa na mikasa mingi na mauji ya kutisha Humu ndani kuna yule mchizi aliyecheza kings man ,taron egerton Bwana Jimmy Keene(taron...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari kuu wakuu. Bila shaka ni wazima wa afya tele. Lengo la huu uzi ni kuwaleta pamoja wapenzi wa music wa Country. Music huu ni so genuine wenye asili yake hasahasa huko Texas Marekani...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Nani amwambie huyu dogo ukurasa wake muonekano mpya hauvutii,hauna habari za maana tena
1 Reactions
4 Replies
755 Views
Hapa naamanisha Movies za kuangilia Never Miss. Hapa naangalia from the Actor point of view (kwamba wameitendea movie Haki)…. Story ni ya kukata na shoka na Dialogue ni ya kusisimua… Kwangu...
0 Reactions
93 Replies
11K Views
Habari wana jukwaa, Samahan naomba kuuliza naweza kupatawapi tamthilia zakizungu zinazoongea kwa kiswahili kama zile za azam TV (yaan sio kutafsiriwa na ma DJ) unakuta nisauti imeigizwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
535 Views
Nipo nimeamka zangu nikawasha tv kila channel ninayoweka naona nyimbo za injili tu dah. Naamini wengi wetu japo sio wote mmekuwa ni wafuatiliaji wazuri tu wa nyimbo za injili. Ukifuatilia kwa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
"Joseph mwanangu tumenzingirwa na watu nje ya nyumba yetu wakiwa na lengo la kutuua!". "Wanataka kuwaaua...kivipi!...kwanini?!. Nini sababu?..". Maswali yalinitoka mfulilizo kwenda kwa baba...
1 Reactions
1 Replies
695 Views
Kuhusu Historia iliyowahi kutokea hapo zamani iitwayo Ottoman empire/Osman, nilikuja na ombi la kuongezewa muda sisi kama wadau na wafuatiliaji wa tamthilia hii inayopendwa, inayosisimua na...
0 Reactions
2 Replies
641 Views
Tanzania ni nchi yenye makabila takribani 120, Makabila mengi kati ya hayo ni wabantu ambao kimsingi wanapenda sana kufanya muziki na kuimba. Kama ilivyo kwa vitu vingine, ni kawaida kwa mmoja...
1 Reactions
40 Replies
10K Views
Wazazi na walezi wamekua na mitazamo tofauti hisusani katika suala zima la watoto wao kujingia kataika tasinia ya Uwanamitindo (walimbwende) suala hili limekua likiwatia ukakasi mkubwa wazazi na...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Msisitizo: Riwaya imekamilika, kila siku itakuwa inatumwa sehemu moja mpaka itakapoisha. Hakuna longolongo, hakuna kuchelewesha wala hakuna kununua. Mfalme Anataka Kuniua | Sehemu ya Kwanza...
5 Reactions
55 Replies
12K Views
Burudani ya muziki imekuwa chanzo cha kuleta faraja baina ya akili, mwili na roho kwa walio wengi. Muziki ni ajira kwa vijana, watoto na wazee. Muziki unaeleza zetu hisia, taswira, maono na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta Mwandishi: Mwalimu Makoba Sehemu ya Kwanza Nilipita siku ya Jumatatu huko Mwananyamala katika nyumba za ndani sana. Baada ya kuvuka mitaro mitatu...
9 Reactions
129 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…