Chelsea wamefufua nia yao ya kumnunua mlinzi wa Sevilla ya Ufaransa Jules Kounde, 23, baada ya Manchester City kuamua kutomuuza mlinzi wa Uholanzi Nathan Ake, 27 kwa timu ya Thomas Tuchel...
Mimi ni mpenzi wa Azam Tv kwa ujumla wake ila yapo mambo ambayo nadhani bado ipo fursa ya kuboresha zaidi.
Kwanza niwashukuru Azam TV kwa kuboresha movie za ndani.
1. Waboreshe wigo wa kuchagua...
Habari Wana jukwaa,
Nimejaribu kutafuta series ya the duo bila mafanikio ni Korean series ya pori
Nimeingia sites kama nkiri, bila mafanikio, kwa mwenye anayejua site au njia rahisi ya kuipata...
Nafikiri kati ya animations bora kutoka mwaka hii, hii namba moja. Story yake, waigiza sauti na action zote ni za kiwango cha juu. Kitendo cha kumtumia binti mweusi ni safi sana. Hizi vitu huwa...
Nadhani aina ya music wa dansi wa Sasa hautengenezi kizazi Kipya na Hata hao Wasanii wa kufokafoka wanatoka Kwa Juhudi zao na sio kwamba wanatengenezwa kama ilivyokuwa THT.
Jana nilicheki hii movie. Ina actions nzuri, lakini mambo mengi ni kama yaleyale na story haina jipya. Ila kuna sehemu nilisikia kama wanaongea Kiswahili. Pale wameingia kwenye soko la magendo la...
Wadau wa betting watakua wamenielewa. Kuna mtu aliwai kununua odds za namna hii na kwakua alikua hajui kubet, akaomba nimsaidie. Alinunua mechi mbili zikiwa na matokeo ya 2-1 & 2-0. Baada ya mechi...
Wimbo wa Fid q ft taz _walk it off ni wimbo ambao umetoka miaka 6 iliyopita Lakini huu wimbo haupewi airtime sana kama wimbo bora wa hip hop mda wote(according to me) ukichek jins fid alivyofloo...
Kama wewe ni mpenzi wa comedian basi sizani utashindwa kumjua gwiji wa vichekesho Rowan atkinson maarufu kama Mr bean
Sasa Mzee amekuja na hii short series inaitwa man Vs bee humo Luna vituko na...
Kwa upande wangu T-bagwell ndio alinivutia Sana namna alivyocheza kuanzia season 1 mpaka ya 4.zile swaga zake anazofanya akiwa anataka kitu muhimu alikuwa ananichekesha Sana, Jamaa alikuwa...
Na : ATHUMANI RUVULY
Binti mmoja ambaye alitokea katika Familia ya kimasikini sana, alifanikiwa kusoma kwa shida mpaka kufanikiwa kuwa mwanasheria. Alipata kazi nzuri, akaishi katika nyumba nzuri...
Naelewa hii mada imeongelewa sana ila naomba nije kwa namna nyingine
Najua naeza nikawa naandika kitu ambacho labda kishapitwa na muda kutokana na serikali yenyewe pamoja na watu wake kuliweka...
Sauti yako imekuwa ikijirudia kila Mara ubongoni mwangu pale ulipotaja majina kama mrushaka, kayanga kaisho na mengine yaliyokuwa yakiwakirisha miji ya huko kwenu wilayani Karagwe. We siyo ndugu...
Maisha ni safari ndefu yenye Kila aina ya matukio yafurahishayo na kuhuzunisha pia.Miaka ya mwanzoni mwa 2000s nimecheza Sana mziki hapo Darwest.Sasa hivi sipo dar na sitegemei kuishi huko tena...
Katika movie za kibongo ambazo binafsi zilinikonga roho ni hii sema ni movie ambayo haiongelewi saaana ukiaangalia uta-enjoy nakama si mtu wa kuelewa haraka pia itakuchanganya , naweza sema ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.