Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Tanzania ni nchi yenye makabila takribani 120, Makabila mengi kati ya hayo ni wabantu ambao kimsingi wanapenda sana kufanya muziki na kuimba.
Kama ilivyo kwa vitu vingine, ni kawaida kwa mmoja kufanya vizuri kuliko mwingine. Kwa hiyo ni wazi kuwa katika nyimbo za makabila kuna makabila unazikubali nyimbo zake hata kama wewe sio wa kabila hilo.
Je, nyimbo za kabila lipi ambazo unapenda kuzisikiliza hata kama sio kabila lako?