Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,864
- 3,683
Habari kuu wakuu. Bila shaka ni wazima wa afya tele.
Lengo la huu uzi ni kuwaleta pamoja wapenzi wa music wa Country.
Music huu ni so genuine wenye asili yake hasahasa huko Texas Marekani
Wasanii ninaowakubali zaidi ni
1. MAREN MORRIS
2. DOLLY PARTON
3. SHERLY CROW
4. KANe Brown.
Kwangu maren morris ni everything kwa kweli anajua sana pia kuna wengine
5. KHALID
6. RYAN HURD (huyu ni mume wa Maren morris.
Vibao mbalimbali vinavyonikoshaga
°Dolly Parton _Thinking about love
°Kane brown _heaven
°Dan + shay_ 100000 hours
°Khalid ft kane brown _Saturday night
°Dolly parton _ coat of many colours
Tukija kwa maren morris sasa nyimbo zake sasa [emoji116][emoji116][emoji116]
1. Bumming cigarette
2. To the hell and back
3. Humble quest
4. Bones
5. Space
6. Detour
7. A song for everything
8. Good woman
Nk
BAK BelindaJacob
Mshana Jr
Karibuni kuchangia