Series ya BLACK BIRD imesukwa haswa

Series ya BLACK BIRD imesukwa haswa

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,173
Reaction score
1,488
Ni Moja ya series Bora kabisa Kwa mwaka huu humu ndani kuna visa na mikasa mingi na mauji ya kutisha

Humu ndani kuna yule mchizi aliyecheza kings man ,taron egerton

Bwana Jimmy Keene(taron egerton) yeye ni mtu WA biashara haramu drug dealer na pia anauza silaha Kwa njia haramu kiufupi jamaa ni mafia Sana Ila ni smart mno uwezi mzania basi siku Moja katoka hoteli akaopoa mrembo mmoja

Ikabidi apitishe naye usiku asubuhi yake maofsa wa usalama wanamkata Kwa tuhumu nyingi Sana ikiwemo uuzaji wa dawa za kulevya basi mwamba anaenda jela baada ya kupigwa mvua 10 yaani asote miaka 10 jela ASEE[emoji33]

Basi anatokea agent Lauren kutoka FBI na Mr beamount wanampa Offa mchizi kama ataweza kumshawishi muuaji ambaye akili zake azijakaa Sawa amwambia ni wapi ili miili mingine aliyofukia ya wanawake anaowaua bila sababu ? Na akiweza kumshawishi atakuwa humu mwamba wewe liwalo na liwe

Unajua ilikuwaje je mchizi akiweza kumshawishi Larry aseme miili mingine ya mabinti aliyowaua ameizika wapi

naipa rate ya 9/10 series Kali Sana
IMG_20220725_224833.jpg
 
naipa rate ya 9/10 series Kali Sana View attachment 2303840
hii series unayo?
 
Basi nitaitazama maana leo tu nimetoka kuipakua.
 
Nipo na Only murder in the building! Hii ipo pending bado
 
Asante sana..naoenda ufafanuzi kama huu..mana huwa naiona sana netnaija ila sijaicheki bado.

#MaendeleoHayanaChama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom