Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 482
- 681
Ridhiki haiji yenyewe hata ukilala mlango wazi/
Maisha Bora yanajengwa na juhudi yako ya kazi/
Kazi sio kushuka, kazi ni kupanda ngazi/
Ukipotea,umepotea hata ukikesha unavunja Nazi/
Haishangazi, hizi ni zama za uwazi/
Umeamua kukaa uchi usiogope mapaparazi/
Music haumtupi mwana kama mbeleko ya mzazi/
Namshukuru Allah kipaji kinanisitiri kama mavazi/
Haya wee toa unyumba mwanamke usitoe mimba/
Dawa ya puto sindano hata Amira zinavimba/
Wanautumia music ndio kama kivuli Chao/
Wanaume kama mabinti tushajua Siri zao/
Usijaribu kupiga bambi ikiwa unajua una enka/
Snitch umenyea kambi afanaleki tunakuteka/
Tufanye ibada/
Wote tuimbeni life is harder/
Akina dada/
Maji yakizidi unga msikimbilie kwenye ukahaba.